SIMBA, YANGA ZAPIGWA 2 KILA MMOJA, AZAM NA MGAMBO JKT ZASHINDA
Katika mechi ya mzunguko ya Ligi Kuu Bara Simba watoto wa Msimbazi walikuwa wanapambana na wana lambalmba Azam Fc vijana wa Chamanzi. Kipindi cha kwanza kilianza kwa mashambulizi ya kila upande na...
View ArticleAJALI, AJALI, AJALI YA TATU SIKU YA LEO, BASI LA MANING NICE LAPINDUKA
Ajali zitatumaliza Watanzania, inasikitsha sana kuanzia juzi watu walipoteza maisha ni jumla ya watu 33, mpaka tunakwenda mitamboni jana na leo zimetokea ajali mbili ambapo zote ni barabara ya kuelekea...
View ArticleAJALI TENA INATISHA BALAA: 14 WAFA, WAOKOAJI NAO WAZOLEWA WAFA WAFIKIA 21,...
Watu 21 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea jana saa mbili usiku katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani ikihusisha magari 3 na wengine 11 kujeruhiwa.Akizungumzia tukio hilo kwa njia ya simu...
View ArticleMAJANGA: SHAHIDI AELELZA ALIVYOSHUHUDIA MPENZI WAKE AKIBAKWA NA KUAWA KWENYE...
‘Alisema ‘No’ kwa lugha ya Kiingereza, lakini huyo mtu hakusikiliza,’ aliyekuwa boyfriend Xian Chao Meng aliiambia mahakama ya Toronto. Alikuwa anaongea na Liu katika camera ya mtandaoni alipomuaona...
View ArticleSIKILIZA NYIMBO YA WASANII 19 WA AFRIKA, AY NA DIAMOND, D'BANJ,FALLY IPUPA,NA...
BOFYA CHINI USIKILIZE
View ArticleMAJANGILI WA MENO YA TEMBO 6 WAKAMATWA NA SMG NA RUNDO LA RISASI
Arusha.Wizara ya maliasili na utalii imetangaza kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya kilo 169.7na silaha moja ya kivita aina ya SMG na magazine tatu pamoj na majangili sita katika wilaya ya...
View ArticleZIARA YA RAIS KIKWETE LONDON KATIKA PICHA
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe kuzindua rasmi mpango wa bima ya afya na maafa wa WESTADI wa mfuko wa Jamii wa NSSF jijini London, akiwa na Mkurugenzi wa NSSF Dkt Ramadhani Dau na...
View ArticleSERIKALI YAJIPANGA KUPAMBANA NA MAGONJWA AMBUKIZI NCHINI
Hayo yamesema na Meneja Masoko na Elimu kwa Umma toka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Bi Anjela Mziray wakati wa mkuatano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.Akieleza Bi Anjela...
View ArticleJOHN MNYIKA ANENA KUHUSU BODABODA NA BAJAJI JIJINI
TAARIFA KWA UMMATangu tarehe 3/3/2014 Serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Ndugu Meck Sadiq ilipotoa tamko la kupiga marufuku biashara ya kusafirisha abiria maeneo ya mijini kwa kutumia...
View ArticleIRINGA KUWA NA SIKU YA CHIEF MKWAWA
Iringa Katika mchakato wa kukuza utalii wa ndani Mkoa wa Iringa una mkakati wa kuanzisha maadhimisho ya siku ya mkwawa itakayojulikana kama MKWAWA DAY Hayo yamebainishwa jana na ofisa wanyamapoli ofisi...
View ArticleVIDEO LIVE: WEMA SEPETU NA MARTIN KADINDA WALIPOVAMIA GLOBAL PUBLISHERS
ANGALIA VIDEO HII . . .
View Article