DUH: WYCLEF JEAN AMFILISIKA KABISAAA, HAKUNA KITU
Wyclef Jean(KULIA) amekuwa akijulikana kama msanii mkubwa na mwenye uzito mkubwa katika musiki duniani. Lakini kwa mujibu wa mhasibu wake, anaweza kuishia kufilisika kama wasanii wengine ambao...
View ArticleJK AKUTANA NA MABALOZI WA UMOJA WA ULAYA LEO IKULU
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano na Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU) Ikulu jijini Dar es salaam leo
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MAHESABU YA SERIKALI IKULU
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza muhtasari toka kwa Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh kabla ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam leoANGALIA...
View ArticleTRENI YAANGUKA NA KUUA, 5 WAJERUHIWA HUKO MPWAPWA
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali ya Treni ya mizigo (PICHANI) baada ya kichwa cha treni hiyo kusombwa na maji. Mbali na mtu huyo kufariki watu wengine watano...
View ArticleMKUU WA MKOA ACHOMA NYAVU 300, ANGALIA PICHA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiteketeza nyavu zaidi ya 300 zilizokuwa zikitumika kwa uvuvi haramu katika Ziwa Nyasa ambazo zimekamatwa na idara ya usimamizi wa rasilimali za bahari hivi...
View ArticleHAMANI USIAMINI HAWA NDIO WAZALISHAJI BORA TANZANIA, WAPEWA TUZO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli...
View ArticleAJALI YAKUTISHA: YAUA WANAWAKE 12, WAKIELEKEA MSIBANI (SOMA MAJINA YAO)
File photo Same.Same.Watu 12 wamefariki dunia, 10 papo hapo, baada ya ajali mbaya iliyotokea eneo la Hedaru, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro na kuhusisha magari matatu.Akidhibitisha jana kutokea kwa...
View ArticleMASUPER STAR WETU: LULU ATAMANI KUWA RIHANA, ANGALIA HAPA. . .
Kushoto Lulu katika cover ya VibeTz, akipozi kama Rihanna katika gazeti la GQ - kulia
View ArticleMASUPERSTAR WETU: PENNY NAYE HAJAACHWA NYUMA, AJIRUSHA NA WOLPA GAMBE
ANGALIA PICHA ZAIDI . . .
View ArticleKONGAMANO LA VIJANA KUHUSU MUUNGANO LINAENDELA SASA HIVI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yenye jukumu la kusimamia sekta ya Vijana nchini imeandaa Kongamano la Vijana kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu kuhusu Wajibu wa...
View ArticleWANAKIMBIJI: JESHI LINATUNYANYASA, TUNAISHI KWA MASHAKA
File photoUvunjwaji wa haki za binadamu unaofanywa na kikosi kimoja cha jeshi la wananchi JWTZ unazidi kuwa kero wananchi wa maeneo ya Kimbiji, Wilaya ya Temeke, Dar-es-salaam. Kutokana na kuvamiwa na...
View Article