Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

MAKUBWA: MCHUNGAJI ATAKA WAUMINI WAJE KANISANI BILA NGUO ZA NDANI

$
0
0
Mchungaji Njohi wa Kenya sio tu amewashangaza watu lakini pia ameacha maswali mengi kuhusu imani za watu na kuhusu mwelekeo mzima wa imani na dini kwa ujumla.

Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Post la nchini humo, Rev. Njohi aliwaambia wanawake wavue nguo zao za ndani (Bra na ch*pi) kabla ya kuingia kanisani ili Yesu aweze kuingia katika miili nan yoyo zao kirahisi.

Njohi ambaye ni mchungaji wa kanisa la Lord’s Propeller Redemption nchini Kenya, aliripotiwa akidai kuwa nguo hizo za ndani ni “Ungodly(uovu).” Waalimu wa bibilia wa kanisa hilo waliitisha mkutano na maofisa wa kanisa hilo na kujadiliana kuhusiana na marufuku hiyo ya kuzuia nguo hizo za ndani eti kwasababu “Yesu aweze kuingia miili yao na mioyo yao kwa uhuru”

SOMA ZAIDI. . .

Katika taarifa hiyo iliyoandikwa na kuchapishwa tarehe 25/02/2014, ilidai baada ya kuutaadharisha uma wa waumini wake wa jinsia ya kike kuhusu mahovu hayo, mchungaji huyo anaye “muogopa” mungu aliwaeleza waumini hao kwa jinsi gani watateseka kama hawakuondokana na nguo hizo za ndani.

Kwa mtindo huo, waumini hao inadaiwa walikuja kanisani bila kuwa na nguo hizo za ndani, mwandishi wa mtandao wa Post anadai waumini hao walidai ni kwaajili ya kujiandaa kupokea baraka.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles