IGP MPYA AKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto) akimfafanulia jambo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia) kuhusiana na masuala mbalimbali ya uboreshaji...
View ArticleBANGI NOMA: 37 WAPOTEZA MAISHA SIKU MOJA TU BAADA YA KUHALALISHWA
Imebidi serikali ifikirie upya uamuzi wake wa kuhalalisha uvutaji bangi baada ya watumiaji kuzidisha kiwango cha matumizi mpaka kusababisha vifo, kwa mujibu wa mtandao wa daily currant.Kwa mujibu wa...
View ArticleMKONO: GARI NILITOA NDIO, KWA ZITTO NA MBOWE
Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono (Kushoto Pichani) ametoa ufafanuzi juu ya uhusiano wake na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.Hatua hiyo ya Mkono imekuja baada ya...
View ArticleTULIPOFIKA SASA BASI: MKE AUA MUME, KISA 25,000/-
SingidaMkazi moja wa Kijiji cha Ntewa Kata ya Ntuntu wilayani Ikungi Mkoa wa Singida Juma Abdalah (44) amefariki dunia baada ya kupigwa kwa kipande cha mti usoni na mke wake baada ya kumtuhumu kumwibia...
View ArticleHAPA WANANCHI HAWAJAIELEWA EWURA
MoshiMamlaka ya Majisafi na Majitaka Mjini Moshi (MUWSA), imeiangukia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ili kurejesha tozo ya huduma ya majitaka kwa wananchi baada ya kubaini...
View ArticleHII KIBOKO: BIRTHDAY YA MICHELLE OBAMA, KULA KABISA KABLA,HAKUNA MSOSI
Washington, USA.Wageni wote watakao hudhuria hafla ya kusherehekea miaka 50 ya kuzaliwa ya mke wa raisi wa Marekani, Michelle Obama katika Ikulu ya Marekani (White House) hawatokula chakula cha...
View ArticleM/KTI CHADEMA APIGWA, ATOLEWA KUCHA KISHA KUTUPWA
(Via Milladayo.com) Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Temeke Joseph Yona amepigwa na watu wasiojulikana na kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio kwenye Magorofa ya...
View ArticleDUH: AUAWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
MbeyaWatu wawili wamefariki dunia Mkoani Mbeya likiwemo la mkazi wa kijiji cha Igundu Kata ya Sangambi Tarafa ya Kiwanja Wilayani Chunya, Paul Mwashemele(57) kuwawa kwa kuchomwa kisu tumboni baada ya...
View ArticleAJALI ZITATUMALIZA, HII MBAYA IMETOKEA HIVI KARIBUNI
Hivi karibuni imetokea ajali mbaya katika eneo la KINGOLUWIRA MADAFU kilometa 11 kutoka Morogoro kuelekea Dar es salaam majeruhi wawili, dereva mmoja wa lori amekufa hapo,Juu lori lilobeba mbao baada...
View ArticleHII INATISHA: SAMAKI AINGIA TUMBONI MWA MTOTO WA MIAKA 12
BundaMAISHA ya mtoto mwenye umri wa miaka 12, mwanafunzi wa darasa la tano, shule ya msingi Bwanza (jina tunalo), wilaya ya Bunda mkoani Mara yako hatarini baada ya samaki aina ya sato kumrukia na...
View ArticleKUFURU: AMBAKA DADA YAKE, AUWAWA NA MWANAYE
NachingweaMkazi wa mmoja wa kijiji cha Nang’ondo, Wilaya ya Nachingwea, anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumuua baba yake mzazi katika harakati ya kumwokoa shangazi yake aliye alikuwa...
View ArticleWAKOLA AKAMATIWA SINGIDA NA RUNDO LA HELA FEKI
Singida. Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia mtu moja Toyi Wagela maarufu kama Wakola kwa tuhuma za kupatikana na noti bandia 409 zenye thamani ya zaidi ya sh. 3/=.Kamanda Polisi Mkoa wa...
View ArticleNJEMBA YAKAMATWA NA BUNDUKI NA NDEGE
SingidaAfisa Wanyamapori wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Agustino Lorry (43) amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kupatikana na Bunduki mbili na ndege hai 12 aina ya Flamingo vyote vikiwa...
View Article