Juma mosi tarehe14, December, 2013 blog ya Imma Matukio iliripoti na kutoa picha za ajali mbaya na ya kutisha kuwahi kutokea. Kutokana na kukosekana taarifa za kutosha, Imma Matukio ilijitahidi kutafuta taarifa mbali mbali zinazohusiana na ajali hiyo.
Jina la marehemu ni Bw. Maximilian Michael Swai (PICHANI) mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa jijini Dar es Salaam.
Marehemu atazikwa leo mchana kijijini kwao Rombo Mkuu katika makaburi ya Jangwani.
Jeneza la Marehemu Maximilian Mako Swai likiwa ndani ya nyumba yao