$ 0 0 Mshindi wa Miss Redd's Photogentics (katikati) akiwa amepozi na washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora ya miss Photogenitics. Kinyanganyiro hicho kilifanyika juzi katika hoteli ya Giraff Dar es Salaam.