MITO YA ASILI YACHANGIA UPOTEVU MAJI NYUMBA YA MUNGU
Na Mwandishi Wetu, MwangaONGEZEKO la shughuli za kilimo kupitia mito ya asili isiyosakafiwa pembezoni mwa Bwawa la Nyumba ya Mungu linachangia upotevu mkubwa wa maji, kupunguza uzalishaji wa umeme...
View ArticleTANESCO YALIA NA WAHARIBIFU WA MAZINGIRA KATIKA VYANZO
Na Mwandishi Wetu, MteraMABADILIKO ya tabia nchi, uharibifu mkubwa wa mazingira utokanao na shughuli za kibidanamu pembezoni mwa mito inayoingiza maji katika Bwawa la Mtera, unachangia kupunguza ufuaji...
View ArticleTANESCO YAHIMIZA MATUMIZI BORA NA ENDELEVU YA MTO PANGANI NA BWAWA LA NYUMBA...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidMATUMIZI bora ya bonde la Mto Pangani, ndio njia pekee itakayosaidia kutunza vyanzo vya maji ambayo hutumika kuzalisha umeme kwenye vituo vya Pangani Hydro Systems, Meneja...
View ArticleMWENYEKITI MPYA JUMUIYA YA WAZAZI APOKELEWA KWA KISHINDO
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimia baadhi wa wana CCM waliofurika katika ukumbi wa Tawi la CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambao walifika...
View ArticleMATENGENEZO YA MASHINE NAMBA 1 YA KUFUA UMEME KIDATU YAFIKIA 95%
Mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), wakishirikiana na wakandarasi kutoka kampuni ya Concar kutoka Croatia, wakifanya matengenezo makubwa ya mashine namba moja ya kufua umeme, kwenye Kituo...
View ArticleWCF KUFUNGUA OFISI KWA AWAMU MIKOANI KURAHISISHA UTOAJI WA HUDUMA
PICHANI: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama (MB), akizungumza kwenye warsha ya siku moja ya kuwajengea uelewa wabunge wa...
View ArticleCCM IRINGA YATOA MSAADA VIFAA VYA UJENZI KWA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
PICHANI: Katibu wa chama cha mapinduzi Mkoa wa Iringa Christopher Magala akizungumzia utekelezaji wa ila ya chama cha mapinduzi Mkoa wa IringaNa Fredy Mgunda, Iringa.Chama cha mapinduzi mkoa wa Iringa...
View ArticleMHE BITEKO AWATAKA VIONGOZI CCM KUTATUA MATATIZO YA WANANCHI
PICHANI: Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mkoani Geita akisisitiza jambo wakati akihutubia mamia ya wanachama kwenye maadhimisho ya miaka 41 ya...
View ArticlePOLEPOLE AMNADI MTULIA KATA YA MUZIMUNI, MAGOMENI DAR ES SALAAM
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akitema cheche wakati akimnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Maulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za...
View ArticleBOT YAWATAKA WAANDISHI KUTANGAZA JITIHADA ZA SERIKALI ZA KUJENGA UCHUMI
PICHANI KULIA: Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Julian Raphael Banzi, akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha kwa waandishi wa habafri za Uchumi, Biashara na Fedha, mkoani Mtwara leo...
View ArticleZIARA YA NAIBU WAZIRI WIZARA YA NISHATI MH.SUBIRA MGALU MKOANI KILIMANJARO
Tarehe 24 - 26/01/2018 Mh. Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ametembelea na kukagua utekelezaji wa Miradi ya umeme vijijini (REA II & REA III) kwenye jumla ya vijiji 18 katika wilaya za ROMBO,...
View ArticleTANESCO SUMBAWANGA YAPOKEA JENERETA YA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 10
NA SAMIA CHANDE, SUMBAWANGAKITUO cha kufua umeme mkoani Rukwa kimepata jenereta ya kufua umeme yenye uwezo wakuzalisha MegawatI 10 zitakazoimarisha uzalishaji wa umeme mkoani humo.Akizungumzia ujio wa...
View ArticleBULYANHULU YAKABIDHI SHILINGI MILIONI 75 HALMASHAURI YA NYANG’HWALE
PICHANI: Meneja Mkuu wa Migodi wa Bulyanhulu Benedict Busunzu akikabidhi hundi ya milioni 75,649,524 kwa Mkuu wa wilaya ya Nyangh’hwale Hamim Gweyama kwa ajili ya malipo ya ushuru wa huduma kwa...
View ArticleBOT MTWARA YAWAASA WAANDISHI KUTOA UCHAMBUZI WA KINA KUHUSU TAARIFA ZA FEDHA...
PICHANI: Kaimu Mkurugenzi wa BoT, Tawi la Mtwara, Bi. Leticia Rweyemamu, akitoa hotuba ya kufunga semina ya sikju tano ya waandishi wa habari za Uchumi, Biashara na Fedha, kwenye makao makuu ya tawi...
View ArticleUMEPANGA KUMFANYIA NINI UMPENDAYE 'VALENTINE HII?
Na Jumia Food Tanzania Mbali na mwezi Februari kuwa mfupi, kitu kingine kinachoupa umaarufu mwezi huu ni kujawa na shamrasharma za sikukuu ya wapendanao au ‘Valentine’s Day.’ Sikukuu hii huadhimishwa...
View ArticleMADAWATI YA HUDUMA KWA WATEJA YAWA MKOMBOZI MKOANI RUKWA
PICHANI: Mhudumu wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), kulia, akiwahudumia wanakijiji wa Kirando, Wilayani Nkasi katika Madawati ya dharura Mkoani Rukwa Februari 8, 2018 NA MWANDISHI WETU, NKASIWAKAZI...
View ArticleASYA IDAROUS KHAMSIN AACHIA JUKWAA KWA MOYO MMOJA
Kila jambo hakika huwa halikosi mwisho msemo huu huwa na ukweli ndani yake ilikuwa kama ndoto kwa Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kutangaza kustaafu kuandaa jukwaa la Lady in Red, lakini ndoto...
View ArticleMRADI WA ORIO MUARUBAINI WA TATIZO LA UMEME MKOANI KATAVI
NA SAMIA CHANDE, KATAVIMradi wa Orio uliotekelezwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Uholanzi na Tanzania kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) umesaidia kujenga kituo cha kuzalisha umeme chenye...
View Article