MWILI WA MAREHEMU SISTER JEAN PRUITT KUAGWA JUMATANO
Ndugu, jamaa, marafiki na wadau wa sanaa na haki za watoto Tanzania.Kamati ya Maandalizi ya Msiba inapenda kutoa Tangazo rasmi la shughuli ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mpendwa wetu...
View ArticleWATALII ZANZIBAR HAWAJAKAUKA LICHA YA MSIMU ULIOPO KUZOELEKA KUWA WACHACHE
Na Jumia Travel Tanzania Tanzania imebarikiwa kuwa na vivutio lukuki takribani kila sehemu utakayoipendelea. Mji Mkongwe uliopo visiwani Zanzibar ni mojawapo ya maeneo hayo yenye utajiri wa vivutio vya...
View ArticleFEZA YAKABIDHI VYETI KWA WASHINDI WA GENIUS CUP FINAL 2017
Mkurugenzi wa shule za Feza, Ibrahim Yunus, akikabidhi cheti kwa Baqirhasan Murtaza jana baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mashindano ya Genius Cup Final 2017, huku aliyeshika nafasi ya kwanza ni...
View ArticleUONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WAKUTANA NA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO
Baadhi ya Maofisa wa Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia kwa makini, mazungumzo kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango na Uongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), jijini Dar es...
View ArticleWAKULIMA WILAYANI HAI WAISIFU N2AFRICA KWA MBEGU BORA ZA MAZAO YA MAHARAGE
PICHANI: Lucy David akielezea jinsi alivyonufaika Mbegu za maharagwe zilizotolewa na Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa mazao ya kilimo ya (IITA) kupitia mradi wa N2AFRICANa Mathias Canal,...
View ArticleHOTELI ZAASWA KUBADILIKA ILI KUENDANA NA SOKO
Na Jumia Travel Tanzania Kwa mujibu wa baadhi ya wamiliki wa hoteli za jijini Dar es Salaam wanadai kwamba hali ya biashara ni ngumu kidogo ukilinganisha na miaka miwili iliyopita. Na hiyo ni kutokana...
View ArticleHAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIOANDALIWA NA KINANA KWA AJILI YA KIONGOZI WA...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Alhaj Adamu Kimbisa akimtolea ufafanuzi wa zawadi ya kinyango Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam uku...
View Article95% MIRADI YA UBORESHAJI UMEME TANESCO DAR ES SALAAM IMEKAMILIKA
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidSHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema, tayari asilimia 95 ya uboreshaji miradi ya umeme katika jiji la Dar es Salaam, imekamilika.Meneja Mwandamizi wa TANESCO Kanda ya...
View ArticleSERIKALI YAIPONGEZA COSTECH-OFAB KWA KUANDAA TUZO ZA WAANDISHI WA HABARI ZA...
Mwandishi wa Habari wa gazeti la Guardian, Gerald Kitabu akipeana mkono na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia , Profesa Joyce Ndalichako baada ya kukabidhiwa tuzo ya mshindi wa kwanza kwenye...
View ArticleRAIS WA TFF ATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA SERENGETI BREWERIES
Rais wa TFF ,Wallace Karia akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani alipofanya ziara katika Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) ambayo ni wadhamini wakuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars.pembeni...
View ArticleSEKTA YA MANUNUZI YA MTANDAONI NA CHANGAMOTO ZAKE NCHINI
Na Jumia Travel TanzaniaMiongoni mwa sekta ambazo zimewapatia utajiri mkubwa wafanyabiashara mbalimbali duniani ni pamoja na biashara kwa njia ya mtandao. Leo hii ukiyataja majina ya kampuni kama vile...
View ArticleWANANCHI WANAOTAKIWA KUIPISHA SHANTA GOLD MINE, IKUNGI WATEKELEZEWA MALIPO YAO
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliowahusisha wananchi wa Kijiji cha Mang’onyi, Sambaru na Mulumbi kwa ajili ya kulipa fidia za...
View ArticleASILIMIA 75% YA NCHI WANACHAMA WA INTERPOL, YAKUBALI KUJIUNGA KWA PALESTINA...
PICHANI: Mwakilishi wa Palestina akipokea bendera kutoka kwa Rais wa Interpol Bw. Meng Hongwei kuashiria uanachama kamili wa Palestina ndani ya Taasisi ya Polisi ya Kimataifa ya kuzuia uhalifu wa...
View ArticleSHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAKUTANA NA MSAJILI WA HAZINA
Msajili wa Hazina, Dkt. Oswald Mashindano (katikati), akiueleza jambo uongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati ulipomtembelea ofisini kwake kwa kumueleza mafanikio na changamoto mbalimbali...
View ArticleTANZANIA HAINA BUDI KUTUMIA MIFUMO YA KIDIGTALI KUJITANGAZA KIMATAIFA
Na Jumia TravelWakati dunia ikisherehekea siku ya Utalii Duniani, Jumia Travel imebainisha kwamba matumizi ya tekinolojia za kisasa hususani mtandao wa intaneti una manufaa makubwa katika kuvitangaza...
View ArticleMAHAKAMA YAAMURU HARBINDER SETH AKATIBIWE MUHIMBILI NDANI YA SIKU 14
Na Dotto MwaibaleMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kwa mara nyingine mshtakiwa Harbinder Sethi(PICHANI KULIA) akatibiwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ndani ya siku 14. Korti imesema iwapo...
View ArticleCHUPA 400 ZA DAMU ZAKUSANYWA SIKU YA ASHURA MWANZA
Na Daud Magesa, MwanzaTaasisi za The Desk & Chair Foundation Tawi la Tanzania na The Bilal Muslim Mission of Tanzania kwa kushirikiana na Kituo cha Damu Salama Kanda ya Ziwa zimekusanya chupa 445...
View ArticleNAIBU WAZIRI MABULA ASEMA HALMASHAURI ZINAJUKUMU LA KUPANGA MIJI
PICHANI: Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Angelina Mabula akizungumza na wadau wakati wa mahadhimisho ya siku ya Makazi Duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Na Humphrey...
View ArticleDC MTATURU AWATAKA WANANCHI KUHIFADHI FEDHA ZAO BENKI
PICHANI: Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza wakati akifungua wiki ya Huduma kwa mteja katika Benki ya NMB Tawi la Ikungi lililopo Wilayani humo Mkoani Singida.Na Mathias...
View Article