Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOFISA UGANI WA WILAYA YA BUKOMBE WATAKIWA KUWA NA KUMBUKUMBU ZA KILIMO

PICHANI: Mkuu wa wilaya ya Bukombe,. Joseph Maganga (kulia), akizungumza na maofisa Ugani wa Wilaya hiyo kwenye mafunzo ya kilimo cha mazao ya Mihogo,Pambana Viazi lishe yaliyoandaliwa na Tume yaTaifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILAYA YA GEITA KUTENGA MILIONI 50 YA MAFUNZO KUBORESHA KILIMO

PICHANI: Mkuu wa Wilaya ya Geita Herman Kapufi akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku moja kwa maofisa ugani wa wilayani yake wilayani humo jana yaliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na...

View Article


OFISI YA SECRETARIET YA AJIRA NA UTUMISHI WA UMA YATUMIA TEHAMA KUTOA HUDUMA

 Je unajua jinsi TEHAMA inavyoboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma katika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Usikose kuangalia kipindi hiki uone jinsi ambavyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHUMI WA VIWANDA UTAFANIKIWA KWA KILIMO CHA KITAFITI NA TAFITI

PICHANI: Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Geofrey Ngupula akizungumza na maofisa ugani na waandishi wa habari wilayani humo leo, wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya maofisa ugani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI MPYA TAGCO WAKABIDHIWA USUKANI

NA Mwandishi Wetu, Dar es SalaamUONGOZI mpya wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali, (TAGCO), umekabidhiwa rasmi usukani wa kuongoza taasisi hiyo muhimu katika mawasiloiano ya serikali...

View Article


KUTANA NA 'TYRESE' WA TANZANIA AITWAYE BANYE

Elias Banyenza nduo jina alilopewa na wazazi wake, lakini unafahamika na wengi kwa jina la Banye. Anapenda kuimba na RnB ndio muziki ana unaoupenda zaidi. Banye alianza kuimba akiwa Sunday Schools na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SGA SECURITY COMES TO THE RESCUE OF ABANDONED PATIENTS AT MOI

PHOTO: Security Group Africa Group (SGA),Managing Director, Eric Sambu (right) handing over donations worth 2.5m/- to the Nursing Director at the Bone Institute (Moi), Ms. Flora Kimaro during a special...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU GAVILLE ASEMA, KATIBA MPYA NDIYO MUAROBBAINI WA UFISADI

PICHANI: Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Blaston Gaville (kushoto).KUKAMILIKA kwa mchakato wa uaandaaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA KUBWA LA CASTLE LITE UNLOCKS LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leoMsanii Casper Nyovest...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIPOTI: HOTELI ZA NYOTA 2 NA 3 HUPENDELEWA ZAIDI NA WATEJA

Na Jumia Travel TanzaniaJe ushawahi kupanga kwamba unataka kwenda kulala kwenye hoteli ya nyota ngapi? Ni vigezo gani ambavyo huwa unavitumia kutambua kwamba hoteli hiyo hadhi yake ni nyota fulani? Ni...

View Article

NEW MUSIC: JOH MAKINI FT. DAVIDO - KATA LETA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBACHAWENE: KILIMO NI MUHIMILI WA UCHUMI TANZANIA

PICHANI: Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe George Simbachawene (MB) akizungumza na Wadau wa kilimo hususani Wakulima, Wafugaji, sambamba na Wananchi wote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITU AMBAVYO HAURUHUSIWI KUSAFIRI NAVYO KWENYE NDEGE

Na Jumia Travel Tanzania Kama umeshawahi kusafiri kwa ndege naamini utakuwa unafahamu ni kitu gani cha kubeba kwenye begi lako na kipi sio. Endapo haujawahi au unatarajia kufanya hivyo kwa siku za hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH 88 NGONGO, LINDI

Mtafiti kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Bestina Daniel (kushoto), akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mathew Mtigumwe (kulia), kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAONGEZA UZALISHAJI MAZAO MAKUU YA CHAKULA KUKIDHI MAHITAJI NCHINI 100%

PICHANI: Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe William Tate Ole Nasha (Mb) akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Charles Tizeba wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI APOKEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOANI TANGA

Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukielekea mkoani Tanga ambako katika ziara yake ya siku tano ataungana na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFUNGASHAJI BIDHAA KUWAINGIZA AKINAMAMA KWENYE SOKO LA USHINDANI

PICHANI: Mwezeshaji wa mafunzo ya nembo na vifungashio, Emmanuel Bakashaya, akifundisha akinamama wa Green Voices jinsi nembo na vifungashio vinavyopaswa kuonekana.AKINAMAMA wanaotekeleza mradi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WATAKIWA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WAFANYABIASHARA

Na Mathias Canal, LindiBaada ya kuimarisha umoja na ushirikiano wa wakulima wenyewe ni vema wakulima wakajenga mahusiano mazuri na wafanyabiashara ili kutokutoa mianya kwa madalali ambao mara nyingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFISA UGANI WASHINDWA KUWAFIKIA WAKULIMA KWA WAKATI

PICHANI: Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Mikocheni jijini Dar es Salaam (MARI), Christina Kidulile (kushoto), akimuelekeza jambo mkulima, Ablali Mohamed kuhusu matumizi ya mbegu bora,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI: PICHA ZA NGONO NI HATARI, HUADHIRI NGUVU ZA KIUME

Na Mwandishi Wetu, Picha na video za ngono(pornography) katika mitandao ya intaneti zimekuwa zikisambaa kuliko kawaida, lakini ongezeko la athari linazidi kuangamiza na kuharibu mahusiano ya kweli...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live