RAS TANGA ATAKA WAANDISHI WA HABARI KUPEWA USHIRIKIANO
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akifungua maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani kimkoa yaliyofanyika kwenye ukumbi wa klabu ya waandishi wa habari mkoani Tanga...
View ArticleTANESCO YAWABANA WADAIWA SUGU WA BILI ZA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM
Mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam, wakiwa na kifaa cha kukatia umeem, tayari kwa kazi kwenye transfoma ya kupeleka umeem kwenye eneo la kiwanda...
View ArticleASASI ZA KIRAIA ZASAIDIA KUWAPA RAIA SAUTI
PICHA: Majadiliano ya jumuiya katika kata ya Mpapula mkoani Mtwara, mwanajamii akielezea uzoefu wao kuhusu vitendo vya ukatili vinavyofanywa dhidi ya wanawake na watoto. Majadiliano hayo yaliandaliwa...
View ArticleWANANCHI WA UHAMBILA ACHENI KUHARIBU VYANZO VYA MAJI NA MALIASILI ZENU
viongozi wa shirika la LEAT pamoja na viongozi wa kijiji cha Uhambila wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wakati wa kujadili maswala ya utunzaji wa Maliasili na vyanzo vya maji vilivyopo eneo hill.Baadhi...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA - TBC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania - TBC - Dkt Ayoub Rioba alipowasili kukagua shughuli za hapo pamoja na...
View ArticleJUMIA TRAVEL YAJIDHATITI KUFANYA MAPINDUZI YA USAFIRI BARANI AFRIKA
Na Jumia Travel Tanzania Kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma za hoteli kwa njia ya mtandao ndani na nje ya bara la Afrika, Jumia Travel imedhamiria kukomboa jitihada za masuala ya usafiri kupitia...
View ArticleWATEJA MWALIMU COMMERCIAL BANK PLC (MCB) KUONDOKA NA ZAWADI
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank PLC, Bw. Ronald Manongi, (katikati), akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Masoko, Bw. Valence Luteganya, (kulia) na Meneja Masoko, Bi. Rahma Ngassa,...
View ArticleMAREKANI KUENDELEA KUSAIDIA WATANZANIA VITA DHIDI YA VVU/UKIMWI
Dar es Salaam, TANZANIA. Serikali ya Marekani kupitia Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR), umeidhinisha mpango wa kutoa Dola za Kimarekani Milioni 526 katika kipindi...
View ArticleTGNP YASEMA BAJETI YA ELIMU 2017/2018 HAIJATOA KIPAUMBELE KWA MTOTO WA KIKE
PICHA: Ofisa wa Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP), Veronica Magayane akitoa mada wakati wa mkutano wa uchambuzi wa bajeti ya wizara hiyo kwa mlengo wa kijinsia uliofanyika jijini Dar es Salaam...
View ArticleMICROSOFT KUANZISHA HUDUMA YA CLOUD AFRIKA
Kampuni ya Microsoft imewaka hadharani rasmi mipango yake ya kutoa huduma ya Microsoft Cloud kwa mara ya kwanza kutokea kwenye vituo vyake barani la Afrika. Uwekezaji huu mpya ni hatua kubwa ya kampuni...
View ArticleNEWS RELEASE: CHIN BEES AACHIA WIMBO NA VIDEO MPYA ‘NYONGA NYONGA’
Dar es Salaam, May 20, 2017,Baada ya kujitengenezea heshima adimu kama ‘Prince wa Trap’ Tanzania kupitia ngoma yake, Pepeta, Chin Bees ameachia wimbo mpya ‘Nyonga Nyonga’ pamoja na video yake. Wimbo...
View ArticleMKUTANO WA 18 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI DAR ES...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kwenye Mkutano wa 18 wa...
View ArticleJE MAZIWA YA MAMA YANAWEZA KUTIBU SARATANI?
- Wanasayansi wabahatisha uvumbuzi wa tiba mpya ya saratani yatokanayo na maziwa ya mama Na Mwandishi Wetu (kwa msaada wa mitandao)Faida ya maziwa ya mama imekuwa ikielezwa kwa muda mrefu sana, lakini...
View ArticleHATUA ZA KUFUATA BAADA YA KUACHWA NA NDEGE
Na Jumia Travel TanzaniaNi jambo la kawaida kuachwa na usafiri kama vile basi, boti, treni au ndege licha ya kufanya maandalizi ya kutosha. Baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia mtu mpaka kuachwa na...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA UBUNGO ATOA MAAGIZO MANNE KUTEKELEZWA, IKIWEMO KUJENGWA KWA...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Matiku Makori akizungumza katika Mkutano uliofanyika katika Shule ya Msingi Ubungo Plaza uliowajumuisha walimu, Mtendaji, Wajumbe wa Mitaa, na wananchi. Leo Mei 19,...
View ArticleMBUNGE LUSHOTO AWAPA POLE WAKULIMA WA MBOGAMBOGA, AWATAKA KUONGEZA UZALISHAJI
Mbunge wa Jimbo la Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akitazama namna mbogamboga za wakulima kwenye Jimbo lake zilivyoharibika hivi karibuni kutokana na miundombinu...
View ArticleMAOFISA UGANI WATAKIWA KUWA NA MASHAMBA YA MFANO
Mshauri wa Jukwaa la Kilimo na Bioteknojia (OFAB), Dk.Nicholaus (kulia), akitoa mada katika mafunzo ya kilimo ya siku moja kwa maofisa ugani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bushosa, Sengerema mkoani Mwanza...
View Article