SBL YATOA ZAWADI YA GARI AINA YA SHS 50M/- KWA MSAMBAZAJI BORA
Mkurugenzi wa Mauzo wa SBL, Alain Tayo (wa kwanza kushoto) akimkabidhi nyaraka za gari aina ya Heicher lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 50 kwa Mwakilishi wa MM Group Joseph Chanika, ambaye ni...
View ArticleWANACHATO CHANGAMKIENI KILIMO CHA MIHOGO KINA TIJA KATIKA SOKO LA KIMATAIFA
Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita (RAS), Selestine Gesimba akizungumza na wataalamu wa kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Jukwaa la Bioteknojia na Uhandisi Jeni (OFAB) pamoja...
View ArticleRASTAMAN MZEE WA MIAKA 110, BADO ANA NGUVU NA ANAIMBA MSIKILIZE HAPA
Rasta mzee anayedaiwa kuwa na miaka 110, akiimba nyimbo 'By the rivers of Babylon' Msikilize hapa chini
View ArticleMELANIA TRUMP HATAKI KABISA KUMSHIKA MUMEWE MKONO?
PICHANI: Mke wa Rais wa Marekani, Melania baada ya kukwepa mkono wa mumewe, baada ya kuwasili jijini Rome wakati wanashuka katika ndege ya Rais, Air Force One jumanne jioni katika Uwanja wa Kimataifa...
View ArticleMBEGU BORA ZA MUHOGO ZINAHITAJIKA KUNUSURU WAKULIMA WILAYANI CHATO
Mwenyekiti wa Kijiji cha Ipandikilo kilichopo katika Halmshauri ya Wilaya ya Chato, Lazaro Kagundulilo (kulia), akizungumza na wanahabari pamoja na wataalamu wa kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi...
View ArticleCCM YAMPONGEZA JPM SAKATA LA MCHANGA WA MADINI, YALAANI VIKALI MAUAJI MKOANI...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Itikadi na Uenezi Ndg Humprey Polepole akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Mikutano Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es...
View ArticleWAZIRI MWIJAGE MGENI RASMI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA TANGA
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage kuwa mgeni kwenye maonyesho ya kimataifa yatakayoanza...
View ArticleMKURUGENZI MANISPAA YA ILALA ATOA CHETI KWA MTUNZA MALI ZA UMMA
Na Leonce ZimbanduMKURUGENZI wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela ametoa cheti cha shukurani kwa Mkazi wa Mtaa wa Kichangani kata ya Majohe, Gabriel Macheho (pichani) baada ya kutambua mchango wake...
View ArticleUCHELEWESHAJI PEMBEJEO WAPOROMOSHA KILIMO CHA PAMBA MKOANI GEITA
Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Mbogwe, (kulia), Elias Kayandabila, akizungumza na waandishi wa habari, walioongozana na wataalamu wa kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia...
View ArticleLAPF PENSION YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI
Meneja Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe akifafanua jambo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko huo wakati alipkuwa akizungumza katika mkutano wa siku moja na...
View ArticleJUMIA TRAVEL YAZINDUA RIPOTI YA UTALII BARANI AFRIKA
KUZIDI kuongezeka kwa watumiaji wa intaneti barani Afrika na kufikia zaidi ya milioni 300 ambayo kiuwiano kwa ueneaji wake ni sawa na 27.7% ni ishara nzuri kwa uchocheaji wa ukuaji wa shughuli za...
View ArticleZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUENDESHA GARI UMBALI MREFU
Na Jumia Travel TanzaniaLinaweza kuwa si jambo la kushangaza kuwaona watu wakisafiri kwenye usafiri wao binafsi kuelekea mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Na hii ni kutokana na maendeleo na mabadiliko...
View Article“MRADI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA NCHINI UGANDA HADI BANDARI YA TANGA...
Afisa Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Augustino Kasale kulia akimueleza jambo Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Charles Mwijage kushoto wakati alipofungua maonyesho ya...
View ArticleMD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO
PICHANI: Mkurugenzi wa Manispaa ya ubungo Ndg John Lipesi KayomboWatanzania wametakiwa kuwa na utamaduni wa kuzifuata fursa zilizopo katika maeneo mbalimbali nchini ili kuiunga mkono Serikali katika...
View ArticleUMISSETA MKOA WA DAR ES SALAAM YAPAMBA MOTO
Kaimu Katibu Tawala upande wa Uchumi na Uzalisha Mkoa wa Dar es salaam Ndg Edward Otieno akizungumza wakati wa ufunguzi wa UMISSETA Mkoa wa Dar es salaam Leo Mei 28, 2017 katika Uwanja wa Uhuru....
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akitoa elimu kuhusu umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko huo kwa wakazi wa Jiji la Tanga kwenye banda lao lililopo...
View ArticleRC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUTOOGOPA KUSTAAFU
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza katika mkutano wa nane wa wadau wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF jijini Arusha juzi ,wakati akifunga mkutano huo ambapo aliwataka wastaafu...
View Article