DR GEORDAVIE:JIJENGEENI TABIA YA KUSAIDIA YATIMA
Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hiii leo(picha na woinde Shizza wa libeneke la kaskazini Arusha) Nabii mkuu...
View ArticleMBUNGE MUSSA WA JIMBO TANGA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA WAKULIMA JIMBONI MWAKE
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Golani Shutashuta,Saidi Bakari wakati alipokwenda akikagua mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji eneo la Golani...
View ArticleEWURA YARIDHIA KWA SEHEMU OMBI LA TANESCO KUPANDISHA BEI YA UMEME
MAMLAKA ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji, (EWURA), imetangaza ongezeko la bei ya umeme kwa asilimia 8.5%. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlamgosi, (pichani), ongezeko hilo la...
View ArticleBW. WASIA MAYA NA BI. LAILA MARTIN WAMEREMETA HOUSTON, TEXAS
Siku ya Alhamis tarehe 29/12 Bw. Wasia Maya kutoka mjini Houston , Texas aliamua kuachana na kambi ya makapera na kufunga ndoa na Bi. Laila Martin. Harusi hiyo ilifanyika nyumbani kwa Bw. Wasia na...
View ArticleNHIF TANGA YALIPA BILIONI 5 VITUO VYA AFYA MWAKA 2015/2016
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) umefanikiwa kulipa vituoni madai yanayotokana na huduma za afya kwa wakati zaidi ya bilioni 5.1 kwa mwaka wa fedha 2015/2016 sawa na asilimia...
View ArticleMAVAZI YA KHANGA YALIVYO SHINE KWENYE KHANGA PARTY 31/DECEMBER 2016
Usiku wa 31,December 2016 kuamkia mwaka mpya 2017 ndipo wanamitindo mbalimbali walikutana na kusherekea kwa pamoja Usiku wa Khanga yaani “Khanga Party”. Tukio hili kama lilivyo kuwa limetaarifiwa awali...
View ArticleWALEMAVU WA KIJIJI CHA LULANZI WAMLILIA MBUNGE RITTA KABATI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa(CCM) Rita Kabati akiongea na familia ya watu watano wenye ulemavu wa viungo alipowatembea katika kijiji cha Lulanzi Kata ya Mtitu wilayani Kilolo mkoa wa Iringa...
View ArticlePSPF YAWAPIGA MSASA WATUMISHI OFISI YA RAS DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, (kulia), akipeana mikono na Katibu Tawala Msaidizi (anayeshughulikia masuala ya serikali za mitaa), jijini Dar es Salaam, Bi. Merry...
View ArticleWANASHERIA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM WAJIUNGA NA PSPF
Afisa Uendeshaji wa PSPF, Hadji Hamisi Jamadari, akitoa ufafanuaiz kuhusu kazi zifanywazo na Mfuko huo, hususan uchangiaji wa hiari, (PSS), mwishoni mwa seina ya mafunzo ya siku mbili, kwa watumishi wa...
View ArticleBRAND NEW MUSIC: RAMA DEE - MAZOEA
SIKILIZA NA DOWNLOAD BRAND NEW REGGAE MUSIC FROM RAMA DEE. THE BEST LOVERS ROCK KUFUNGUA MWAKA 2017
View ArticleMHARIRI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA WIZI WA GARI
Na Mwandishi Wetu Mwandishi na Mhariri wa shirika la Standard Media Group nchini Kenya Aaron Ochieng(Pichani Kushoto) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za wizi wa gari lenye thamani ya shilingi za...
View ArticleKARIMJEE JIVANJEE FOUNDATION REWARDS YOUNG SCIENTISTS 2016
(CAPTION) Diana Sosoka and Nadhra Mresa (All photos: Daniel Mbega of MaendeleoVijijini Blog)By Daniel Mbega of MaendeleoVijijini BlogDar es Salaam: THE Karimjee Jivanjee Foundation (KJF) has rewarded...
View ArticleUMEME CHANZO CHA KUZOROTESHA HUDUMA BORA ZA AFYA MAFINGA MJINI
Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi kulia akisikiliza kilio cha wafanyakazi wa zahanati na vituo vya afya alipotembelea kujionea na kusikiliza changamoto za huduma za afya katika jimbo lake...
View ArticleMANDHARI TOFAUTI UNAZO KUTANA NAZO PINDI UNAPO PANDA MLIMA KILIMANJARO
Uoto wa asili wa aina mbalimbali unavyoonekana wakati unapoanza safari ya kuelekea kituo cha Kibo ukitokea kituo cha Horombo. Mawe yenye michoro mithili ya mistari ya Pundamilia yanaonekana katika eneo...
View ArticleCOSATO CHUMI ATATUA TATIZO LA MASHUKA KATIKA ZAHANATI,VITUO VYA AFYA NA...
Mbunge wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi mashuka kwenye moja ya Zahanati ilikuwa na upungufu wa mashuka katika kata ya Isalavanu wakati wa ziara yake ya kukagua na kugundua changamoto...
View ArticleLEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MDAU MUGANYIZI BISHEKO
Leo Januari 12, 2017 ni siku ya kuzaliwa kwa Ofisa Masoko Mwandamizi wa Bank of Africa Tanzania, Muganyizi Bisheko... Wote kwa pamoja tunapenda kukutakia heri na fanaka. Mwenyezi Mungu akujalie maisha...
View ArticleBENKI YA POSTA, MBEYA WASHEREKEA MAPINDUZI KWA KUSHIRIKI USAFI KITUO CHA AFYA...
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya wakishiriki zoezi la usafi katika kituo cha Afya kiwanja Mpaka jijini Mbeya ikiwa ni sehemu ya kusherekea miaka 51 ya Mapinduzi ya...
View ArticleKANUSHO LA SERENGETI BREWERIES, SOMA HAPA
Taarifa kwa vyombo vya habariDar es Salaam Januari 12, 2017- Kampuni ya Bia ya Serengeti inapenda kuarifu wateja wake na umma na kwa ujumla kuwa video isiyo na maadili iliyosambaa mtandaoni ikiwa...
View ArticleERNIE ELS DESIGN WAKUBALIANA NA ZANZIBAR AMBER RESORT KUJENGA UWANJA WA GOFU...
Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohammed Said akitia saini mkataba wa makubaliano na mcheza Gofu duniani Ernie Els ambae ana kampuni ya Ernie Els Design huko Afrika Kusni leo Mkurugenzi wa...
View Article