MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WA MAFINGA WILAYANI MUFINDI WAPIGWA MSASA NA...
Mbunge wa jimbo la Mafinga mjini Cosato Chumi alikuwa mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo.na fredy mgunda,iringaMadiwani wa halmashauri ya mji wa mafinga wilayani mufindi wameongezewa makali ya...
View ArticleSERIKALI YATAKIWA KUBAINISHA STENDI ZA DALADALA JIJINI MWANZA
 Mwenyekiti wa Madereva Kanda ya ziwa Hassan Dede akihojiwa na waandishi wa habariAskari wa kikosi cha usalama barabarani wakiwa wamezisimamisha Daladala kwa kosa la kupakia abira eneo ambalo sio rasmi...
View ArticleCHADEMA YAWANOA VIONGO WAKE WA MABARAZA WILAYA YA NYAMAGANA MKOANI MWANZA
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Ziwa, Meshack Micus (kulia), akizungumza juzi kwenye semina kwa viongozi wa Mabaraza ya Chadema Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.Lengo...
View ArticleWAZIRI NAPE AJIUNGA NA PSPF, AWASIFU KWA HUDUMA ZA "MWENDO KASI"
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Moses Nnauye, (wapili kushoto), akipokea fomu ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Bw....
View ArticleMHANDISI METHEW MTIGUMWE ATEULIWA NA RAIS KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO,...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe pichaniNa Mathias CanalKwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasilino ya Rais, IKULU imeeleza kuwa Rais...
View ArticleZIARA YA NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NAS MAZINGIRA ZANZIBAR
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akimsikiliza Mratibu wa Kituo cha Tume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar Bi Afua Mohammed akitowa maelezo ya utendaji wa Tume...
View ArticleMKUTANO MKUU WA WANABLOGU TANZANIA 2016 UMEFUNGUA MILANGO YA MAFANIKIO
Disemba 05 na 06 mwaka huu 2016 ulifanyika Mkutano Mkuu wa Waendeshaji/ Wamiliki wa Mitandao ya Kijamii nchini kupitia umoja wao wa Tanzania Bloggers Network TBN, uliofanyika ukumbi wa PSPF Jijini Dar...
View ArticleNEW VIDEO: SPICY FT. LADY JAYDEE - TOGETHER REMIX (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Spicy X LadyJaydee - Together remix (official Music Video)
View ArticleMIKATABA YASAINIWA UJENZI WA HOTELI NA NYUMBA MATEMWE AMBER RESORT
Mkurugenzi wa Mradi wa Ujenzi Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar Pennyroyal Gibraltar Limited Zanzibar Amber Resort Mr. Saleh Mohammed Said akizungumza kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya utilianaji wa...
View ArticleTEF: MAXENCE MELO AACHIWE MARA MOJA
TANZANIA EDITORS FORUM (TEF)MKURUGENZI WA JAMII FORUMS AACHIWE MARA MOJAKwa muda wa siku tatu sasa Jeshi la Polisi Tanzania linamshikilia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media Limited, Maxence...
View ArticleMRADI MKUBWA WA UMEME WA BACKBONE UMEKAMILIKA, KUZINDUALIWA JANUARI
Meneja wa mradi mkubwa wa umeme wa Backbone, Mhandisi Khalid Reuben James, akitoa maelezo kwa wahariri (jawapo pichani), walipotebelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Tagamenda kilichoko nje...
View ArticleMAWAZIRI WAPONGEZA PPF,NSSF KWA KUUNGANISHA NGUVU KUWEKEZA KWENYE KIWANDA...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akihutubia wanakijiji wa kijiji cha Kidunda, Kata ya Mkulazi, Tarafa ya Ngerengere mkoani Morogoro wakati wa ziara yake na Waziri wa Nchi , Ofisi ya...
View ArticleWAZIRI WA NISHATI NA MADINI ATATUA MVUTANO BAINA YA TANESCO NA WASHIRIKA WAKE...
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (katikati), hii leo akizungumza na wanahabari baada ya kikao baina yake na viongozi wa Tanesco pamoja na wawakilishi wa kampuni zilizohusika na...
View ArticleSHIRIKA LA TAYOA LASAIDIA KUONGEZA UELEWA KUHUSU SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI...
Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na masuala ya afya pamoja na ukatili wa kijinsia kwa vijana na wanawake nchini la Tanzania Youth Alliance (TAYOA), Elizaberth...
View ArticleMFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI WAZINDUA HUDUMA YA ULIPAJI WA MAFAO YA FIDIA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, akikata utepe kuzindua mafao ya Fidia na na ubia baina ya watoa huduma za afya .Uzinduzi...
View ArticleWANAKIJIJI WALIO KWENYE MRADI WA BACKBONE KUUNGANISHIWA UMEME KWA SHILINGI...
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, SingidaWANAKIJIJI wa vijiji 126 wanaopitiwa na mradi mkubwa wa umeme, Backbone wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovolti 400, kutoka mkoani Iringa hadi...
View ArticleTAASISI YA UTAFITI YA MAGONJWA YA BINADAMU KILIMANJARO (KCRI) YAWAKUMBUKA...
Wafanyakazi wa Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu Kilimanjaro (KCRI) wakiwa katika picha ya pamoja na zawadi walizopeleka katika kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Upendo cha mjini Moshi....
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA WANAHABARI NA ASKARI WA JESHI LA ULINZI KATIKA KITUO CHA...
Baada ya kupuumzika kwa siku mbili katika kituo cha Horombo kwa ajili ya kuzoea hali ya hewa ,safari ya kuelekea kituo cha mwisho cha Kibo ikaanza .Safari ilivyoendelea hali ya hewa ilibadirika...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHIMIZA ELIMU KWA WATOTO WA KIKE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi katika ufunguzi wa Madrasa ya Al-Madrasatul Munawwaratul Islamiyyah ya KilimaninTazari Zanzibar ikiwa...
View Article