Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DTB KUSOMESHA SEKONDARI WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Bi. Sheena Sinare, (katikati) Afisa wa Diamond Trust Bank (DTB), akikabidhi malipo kwa ajili ya ada ya wanafunzi 5 kwa mkurugenzi wa shule ya Sekondari ya Sullivan Provost iliyopo Kibaha Mkoa wa Pwani....

View Article


MSAKO WA VIWANDA FEKI VYA KUZALISHA POMBE KALI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAAHIDI UMEME WA UHAKIKA KATIKA TANZANIA YA VIWANDA

Ziara ya hivi karibuni ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesmi Mramba, alipotembelea kituo kipya cha kupoza na kusambaza umeme cha Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam NA K-VIS...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITUO VITATU KUJENGWA KILA HALMASHAURI VYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI NA...

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza hii leo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Bure ya Uchunguzi na Matibabu ya Saratani ya Matiti na Shingo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA ZIFF AZINDUA TAMASHA LA UONESHAJI...

Waziri wa Afya katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar ZIFF, Mhe.Mahmood Thabith Kombo, akizungumza kwenye Uzinduzi wa Tamasha la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA MBAGALA-KIBURUGWA WAJADILI MAAGIZO YA RPC MUROTO KUHUSU ULINZI NA...

Kijana wa Mtaa wa Mbagala-Kiburugwa, Wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, akizungumza kwenye mkutano wa wakazi wa mtaa huo kujadili maagizo ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kamishna Msaidizi...

View Article

NEW MUSIC: KOKORO - RICH MAVOKO Ft. DIAMOND PLATNUMZ

View Article

NEW VIDEO: KOKORO - RICH MAVOKO FT. DIAMOND PLATNUMZ

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWEKEZAJI WA TANESCO WAFIKIA SHILINGI TRILIONI 5.35, NI MKUBWA KATIKA...

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini, (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, (katikati), akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo Novemba 24, 2016. Alikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO-TANZANIA YAWAJENGEA UWEZO MAAFISA WA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI,...

Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, (UNESCO), nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigueas, (kulia), akiendesah semina ya mafunzo ya siku tatu kujenga uwezo kwa maafisa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADIWANI MERU WAMKATAA MKURUGENZI

Makamu Mwenyekiti wa baraza la madiwani Meru akiwa anachangia hoja katika baraza hilo Habari picha na Woinde Shizza,ArushaBARAZA la madiwani Halmashauri ya Meru mkoani Arusha wamkaanga Mkurugenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOBISOL NA ZUKU TV WAZINDUA HUDUMA ZA TELEVISHENI YA SATELITE YA NISHATI YA JUA

 Meneja Mkuu wa Zuku Tv Tanzania , Bw.Omari Zuberi akiongea na waandishi wa habari juu ya huduma mpya ya TV ya nishati ya jua ambayo ina channel za Zuku Tv katikati ni Afisa masoko wa Mobisol Sjors...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA WA JIJI LA ARUSHA AZINDUA KAMPUNI YA MASOKO YA KISMATY ADVERT MEDIA

Mkurugenzi wa Kismaty Advert Media Company Ltd, Bi. Mary Emmanuel Mollel akizungumza Machache katika uzinduzi wa kampuni ya Matangazo ya Kismaty Advert Media katika ukumbi wa Asili Resort jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MD KAYOMBO AFANIKISHA MRADI SHULE YA MATOSA

PICHA: Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo amepongezwa na walimu pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Matosa iliyopo...

View Article

JIANDAE KWA MAONESHO YA VIWANDA TAREHE 7 - 11 DEC

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU ANUSURIKA KUFA MARA BAADA YA KUBWAKWA NA...

Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha Charles MkumboNa Woinde Shizza,Meru MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Kitefu iliyopo Meru mkoani Arusha amenusurika kufa mara baada ya kubakwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MTIGUMWE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI...

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew John Mtigumwe akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Singida SSP Peter Charles Kakamba, baada ya mwili kuagwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXCLUSIVE NEW MUSIC: SPICY - LET'S GO THERE

NEW MUSIC FROM SPICY (GROUP MEMBER OF 2NITE ENTERTAINMENT)  Spicy is Mr. Flavour's pianist Enjoy the good music

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMBO ANNA NITWA AFANIKISHA UKARABATI WA CHOO CHA WODI YA KINAMAMA...

Mlimbwende anayeshikilia Taji la Urembo la Mkoa wa Dodoma (Miss Dodoma 2016/17), Anna Nitwa (wa pili kulia) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YATANGAZA KUWEPO KWA KATIZO LA UMEME KWA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGWA...

Mhandisi wa umeme wa Shirika la Umeme nchuini Tanzania TANESCO, akiwa kazini jijini Dar es SalaamSHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa Mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga,...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live