Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live
↧

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, DK.SHEIN AFUNGUA BUNGE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI WATAKIWA KUWA MABALOZI WA ELIMU YA MPIGA KURA

Afisa Uchaguzi wa NEC Bw. Stephen Elisante akiwaonyesha wanafunzi wa shule ya Sekondari Kidinda fomu maalumu zinazotumika kujaza matokeo ya uchaguzi katika vituo vya kupigia kura wakati akitoa elimu ya...

View Article


MHE ANASTAZIA WAMBURA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA GOLF YA JESHI YATAMBA KUREJEA NA USHINDI ARUSHA OPEN

Naibu Katibu Mkuu wa klabu ya gofu  ya  Lugalo ya Jijini  Dar es Salaam Kanali Rajabu Mwenyumbu  akiangalia Mazoezi  ya mwisho ya timu ya  klabu hiyo  ambayo inatarajia  kushiriki  katika mashindano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MBARAWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA KIBONDO-NYAKANAZI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (wa tatu kulia) akimsikiliza Mkandarasi wa Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza (kulia), inayojenga barabara ya Kibondo-Nyakanazi yenye urefu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI. HAKUNA MAKAZI HOLELA YATAKAYOBOMOLEWA JIJINI MWANZA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Willium Lukuvi, akizungumza na wakazi wa Kata ya Buhongwa Jijini Mwanza, alipofanya ziara Jijini Mwanza hii leo.Waziri ameziagiza halmashauri za Jiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUMI AENDELEA KUTAFUTA WADAU WA KUISAIDIA SHULE YA MSINGI MAKALALA

Mkurugenzi wa TEA Joel Laurent katikati akiangalia darasa la Tehama Computer ambazo baadhi zilitolewa kama msaada na TEA kwa shule hiyo.na fredy mgunda,Iringa. MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini cosato...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE ULIOKUWA MGOGORO MKUBWA WA UMEYA TANGA WAMALIZIKA

Na Mwandishi Wetu, Tanga.Hatma ya mgogoro wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya Jiji la Tanga yamalizika leo baada ya madiwani wa chama cha wananchi CUF kuingia kwa mara ya kwanza katika kikao cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA KIWANDA CHA MAZIWA MEATU SIMIYU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akikata utepe kabla ya kuzindua kiwanda cha kusindika maziwa wilayani Meatu.Waziri wa Nchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM MUFINDI WATAKA MWALIMU NYERERE AENZIWE KWA VITENDO

katibu wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoani Iringa kwaridela vijana wa cahama cha mapinduzi wilayani Mufindi wakati wa sherehe siku ya vijana wa chama cha mapinduzimwenyekiti wa chama cha mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANDAO WA WIZI WA BAJAJI NA BODABODA WANASWA MBEYA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Dhahiri Kidavashali akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya kuhusiana na tukio la kuunasa mtandao wa wizi wa Bajaji na Pikipiki (BodaBoda) Mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI AZINDUA BODI MPYA YA WAKURUGENZI WA MUWSA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru akisalimiana na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhanidisi Gerson Lwenge alipowasili katika Mamlaka hiyo kwa ajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE VENNANCE MWAMOTO AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KATIKA JIMBO LA KILOLO

Mbunge wa jimbo la kilolo Vennance Mwamoto akikabidhi vifaa vya mchezo wa mpira wa miguu kwa wanamichezo wa kijiji cha Bomalang'ombe wakati wa mkutano wa hadhara ulifanyika katika kijiji hicho na kulia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA ADLG YAANZA KUWANOA WANAHABARI JIJINI MWANZA KUHUSIANA NA SEKTA YA...

Baadhi ya wanahabari Jijini Mwanza, wakijadiliana wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuandika habari zenye tija katika jamii kuhusiana na sekta ya madini nchini. Pia wanahabari hao walipata wasaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC HAI AMALIZA MGOGORO WA ARDHI, AREJESHA SHAMBA KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA...

Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara na wananchi wa vijiji vinne vilivyoko kata ya Machame Narumu akitoa uamuzi juu ya mgogoro wa ardhi wa shamba la Fofo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SBL YATOA ELIMU KUHUSU UNYWAJI POMBE KISTAARABU

Meneja wa SBL wa Uwajibikaji Katika Jamii, Hawa Ladha akitoa maelezo katizo kuhusu kampeni ya unywaji kistaarabu katika mkutano na wadau mbali mbali wakiwepo toka vyombo vya usalama na wafanyabiashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHINDANO LA MISS TANZANIA 2016 JIJINI MWANZA KUWA BORA ZAIDI

Leo Oktoba 19, 2016 Kamati ya Shindano la Maandalizi ya Miss Tanzania 2016 imesema Shindano hilo linalotarajiwa kufanyika Oktoba 29,10, 2016 katika viunga vya Rock City Jijini Mwanza, litakuwa bora...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILAYA YA HAI WAZINDUA KAMPENI YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA...

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said mecky Sadiki akishiriki katika uchimbaji wa msingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi Msamadi ,uchimbaji ulioenda sanjari na uzinduzi rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAKE FM MWANZA KUTAMBULISHWA KWENYE USIKU WA MSHIKE MSHIKE NA KHADIJA KOPA

Usisahau kuhusu Show ya Usiku wa Mshike Mshike na Mfalme wa taarabu Afrka Mashariki na Kati iliyoandaliwa na 102.5 Lake Fm Mwanza.Ni alhamisi wiki hii tarehe 27.10.2016 ndani ya kiwanja cha nyumbani,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA ASHIKILIA MSIMAMO WAKE DHIDI YA WATENDAJI WA...

Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba, akihojiwa na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, kuhusiana na sakata la Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Jijini Mwanza kugoma kukabidhi mihuri yao ya...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live