Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NAPE AFUNGA MASHINDANO YA GOFU YA WAZI YA TANZANIA JIJINI...

Richard Owiti kutoka nchini Kenya akionesha kombe lake la ushindi mara baada kushika nafasi ya kwanza kwa wachezaji wa ridhaa,kwenye mashindano ya Gofu ya Wazi ya Tanzania yaliyoanza kufanyika juzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MTATURU AMALIZA MGOGORO KATI YA MWEKEZAJI NA WANANCHI

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mang’onyi wakati wa kutatua mgogoro kati ya wananchi na muwekezaji Shanta Gold MineWanachi Kijijini Mang’onyi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YANGALIA ENEO LITAKAPOJENGWA GATI KWA AJILI YA...

 Greda likisafisha eneo ambalo linatarajiwa kujengwa gati kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kulia akiwa na viongozi kutoka Wizara ya Nishati na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC AKEMEA SIASA TAKA ZINAZOCHANGIA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza na watumishi wa Hospitali ya Malkia wa Ulimwengu iliyopo Kijiji na Kata ya PumaDc Mtaturu akizungumza na viongozi wa ngazi ya juu katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA CBE, TFDA NA AFRICAN RELIEF ORGANISATION WAMKABIDHI PAUL MAKONDA SH...

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dk. Emmanuel Munishi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda (kushoto) Mfano wa hundi ya shilingi milioni 8,000,000/= zilizotolewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU-CCM

SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU CCM TANZANIA     TAARIFA KWA UMMAKatibu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM, Siraji MadebeShirikisho la vyuo vya Elimu ya Juu CCM  katika kikao chake cha kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAMPONGEZA MWANDISHI WA KAMUSI YA UKRISTO

Na Benedict Liwenga-WHUSM.Serikali imempongeza Mwandishi wa Kamusi ya Ukristo Padre Jordan Nyenyembe pamoja na wadau wengine waliohusika katika kufanikisha uandishi wa Kamusi hiyo.PICHA: Kaimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGODI WA BULYANHULU WATENGENEZA AJIRA VIJIJINI KUPITIA MRADI WA MADAWATI.

Afisa Mahusiano wa Mgodi wa Bulayanhulu Sara Teri (kulia) na Meneja wa Ufanisi wa Mgodi wa Bulayanhulu Elias Kasitila wakikabidhi madawati kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’wale Hamim Gwiyama pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA DTB YAKABIDHI VITI KITUO CHA AGA KHAN KWAAJILI YA PROGRAMU YA MAKUZI...

Mkuu wa Kitengo cha Fedha Benki ya DTB Tawi la Zanzibar Ndg Shahr Mohammed kushoko akimkabidhi msaada wa Vitu kwa ajili ya Madrasa hiyo inayotowa Elimu ya Mafunzo kwa Walimu wa Skuli za Maandalizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONESHO YA BIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI 2016 KUFANYIKA ROCK CITY MALL JIJINI...

Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo TCCIA mkoani Mwanza, Leopard Lema (wa pili kushoto), akitoa ufafanuzi hii leo Jijini Mwanza kuhusiana na Maonesho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA DUNIA KUENDELEA KUISAIDIA SEKTA YA MAJI NCHINI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge akifungua kikao cha pamoja na ujumbe wa Benki ya dunia, Wizara ya Maji ,Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (Dawasco ) na Mamlaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SBL YATANGAZA KUDHAMINI ELIMU KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL John Wanyancha ( kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) Wakati wa kutangaza mpango kampuni hiyo wa kugharamia elimu ya vyuo vikuu kwa wanafunzi wanaotoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLIMBWENDE WA TAJI LA MISS MWANZA 2016 APATIKANA

Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,2016, kulikuwa na mtifuano mkali wa kumtafuta mlimbwende wa taji la MISS MWANZA 2016 ambapo warembo 16 kutoka wilaya mbalimbali mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANAPA KUTUMIA TUKIO LA KUPATWA KWA JUA KUTANGAZA HIFADHI ZAKE

Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog.SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limesema litatumia fursa ya tukio la kupatwa kwa jua kama njia mojawapo ya kutangaza hifadhi za taifa hususani zinazopatikana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI KULOLA WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA AKIHUDUMU NCHINI...

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Ilemela Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola (pichani) yuko nchini Marekani kwa huduma ya kiroho tangu jumanne iliyopita Agost 16,2016 ambapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HITILAFU YA MKONGO WA MAWASILIANO YATATIZA HUDUMA ZA TANESCO WILAYANI BAGAMOYO

Sehemu ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani NA MWANDISHI MAALUMSHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linaendelea kuwatangazia wateja wake wote wa Wilaya ya Bagamoyo kuwa, kutokana na kukatika kwa waya wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NAPE APOKEA UWANJA WA TAIFA WA UHURU, "SHAMBA LA BIBI" JIJINI DAR ES...

NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidSERIKALI imekabidhiwa rasmi uwanja wa Taifa wa Uhuru, (pichani juu), jijini Dar es Salaam, leo Agosti 22, 2016, baada ya ukarabati mkubwa wa uwanja huo kukamilika.Akipokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOREA KUSINI YATOA BILIONI 8 KUJENGA KITUO CHA TAARIFA KATIKA HIFADHI YA...

Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo kwa Afrika katika Bnge la Korea Kusini wakiwasili katika uwanja mdogo wa ndege uliopo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.Meneja Masoko wa Shirika la Hifadhi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRAND NEW MUSIC: BEN SWAX ft KALA JEREMIAH KESHA (Official video)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC SIMIYU AFAFANUA TAARIFA KUHUSU WALIMU WAKUU KUVULIWA MADARAKA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthon Mtaka akizungumza na Maafisa Elimu na Viongozi wa CWT wa Mkoa huo katika kikao maalum cha kutoa ufafanuzi wa agizo lililotolewwa na Serikali Mkoani humo la kufanya...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live