BUZWAGI YAIKABIDHI SH. MILIONI 700 WILAYA YA KAHAMA KAMA MALIPO YA HUDUMA
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Mhandisi Asa Mwaipopo akizungumza katika hafla ya kukabidhi hundi ya ushuru wa huduma kwa halmashauri ya mji wa Kahama, hafla hiyo ilifanyika baada ya kukamilika kwa...
View ArticleRAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI KUELEKEA...
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa njiani kuelekea jijini MwanzaRais wa Jamhuri ya Mungano...
View ArticleWADHAMINI WARUDISHA HADHI YA SHINDANO LA MISS TANGA 2016
Miss Tanga 2016, Eligiva Mwasha akiwapungia mikono wananchi waliojitokeza kushuhudia shindano hilo mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi Miss Tanga 2016, Eligiva Mwasha akiwapungia mikono watazamaji...
View ArticleDALADALA LAPINDUKA KITUONI MBAGALA-SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM, WATU KADHAA...
HABARI/PICHA NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAIDDALADALA namba T274 DEX,(pichani), lililokuwa likisafiri kutoka Mbagala RangiTatu kuelekea Temeke jijini Dar es Salaam, limeanguka mita chache kutoka kituo cha...
View ArticleMAXMALIPO KUTUMIKA KUJAZA SALIO KWENYE KADI ZA MABASI YA MWENDO KASI
Mkuu wa kitengo cha biashara Kampuni ya Maxmalipo Bw.Deogratius Lazari Akifafanua Jambo kwa Waandishi wa habari na Kushoto ni Mkuu wa uendeshaji Kampuni ya Maxmalipo Bw. Ahmed LussasiMkurugenzi...
View ArticleSERIKALI YAFAFANUA UPUNGUFU WA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA NA HOMA YA MANJANO
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mohamed Mohamed akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya hatua iliyochukuliwa na Serikali kuagiza na kusambaza...
View ArticleWANAOSAFIRI NJE YA NCHI WATAHADHARISHWA KUHUSU KADI YA HOMA YA MANJANO
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Wizara hiyo Dk. Neema Rusimabayila akitoa ufafanuzi kuhusu mkakati wa Serikali kudhibiti vitendo vya baadhi ya watumishi wa afya wasiowaaminifu ambao hulipwa fedha ili...
View ArticleMHE.ZAMBI APOKEA KADI YA MFUMO WA "WOTE SCHEME" KUTOKA PPF
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi akipokea kadi ya Mfumo wa "Wote Scheme" kupitia Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka kwa Meneja wa PPF kanda ya Kusini Ndg. Kwame Temu.Meneja wa PPF kanda ya Kusini...
View ArticleWIMBO MPYA WA WAPANCRAS WAKIMSHIRIKISHA ABUU MKALI-NITUNZIE SIRI WATOKA RASMI
Kundi la muziki la Wapancras linalojumuisha wasanii ndugu, Mecrass na Payus, la Jijini Mwanza, limeachia wimbo mpya uitwao "Nitunzie Siri", wakimshirikisha Abuu Mkali.Wimbo umetengenezwa pande za Vibe...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI APOKELEWA DSM KWA NDEREMO NA VIFIJO
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipungia wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam kabla...
View ArticleTANZANIA KUTUMIA DOLA MIL500 KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira,January Makamba akifungua warsha ya wadau wa kuhusu ripoti ya taarufa ya mchango wa Tanzania katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na...
View ArticleLAPF YAWAFUNDA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MAANDALIZI KABLA YA KUSTAAFU
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe akizungumza wakati wa semina na wahariri wa Vyombo vya habari mbalimbali kuhusu maandalizi ya mafao ya...
View ArticleVIONGOZI WA CUF WAKIONGOZWA NA MAALIM SEIF WAMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Kulia) akiwaeleza jambo viongozi wa CUF walioongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (Katikati) na Naibu...
View ArticleRC MAKONDA AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA USHAURI YA MKOA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Makonda (kushoto) akifungua kikao chake cha kwanza cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) jijini Dar es salaam.Wengine kutoka kulia ni Mstahiki Meya wa...
View ArticleSIMIYU KUWACHUKULIA HATUA WATENDAJI WANAOTOA TAKWIMU ZA UONGO
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akizungumza na Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa huo (hawapo pichani), katika Mafunzo elekezi yaliyotolewa kwa viongozi...
View ArticleKIPINDI CHA KWANZA KURUKA HEWANI NDANI YA 102.5 LAKE FM MWANZA
102.5 Lake Fm Mwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo, leo imeanza rasmi kurusha vipindi vyake ambapo kipindi cha kwanza kilichoruka hewani ni #MshikeMshike kinachofanywa na #AishaMussa.Bonyeza HAPA...
View ArticleZADIA YAWAPA POLE WAZANZIBARI WOTE KUFUATIA KIFO CHA MZEE ABOUD JUMBE
215 459 4449zadia.orgانا لله وانا اليه راجعونTAARIFAJumuiya ya Wazanzibari Nchini Marekani (ZADIA), imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.Mzee Jumbe aliyewahi kuwa...
View ArticleTANAPA,NGORONGORO NA IDARA YA WANYAMAPORI SASA KWENDA KIJESHI
Gwaride la wahitimu wa mafunzo ya kijeshi kwa askari na maafisa wa Hifadhi za Taifa likiingia katika viwanja vya mazoezi katika kambi ya mafunzo ya Mlele wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo.Katibu Mkuu...
View ArticleDC MTATURU: SERIKALI IPO TAYARI KUCHUKIWA NA WAVIVU
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mirajji Jumanne Mtaturu akisisitiza jambo wakati wa kufunga mafunzo ya waendesha pikipiki.Mkurugenzi wa Taasisi inayojihusisha na kupunguza umasikini na kutunza mazingira...
View ArticleMFUKO KICHOCHEO WA SAGCOT WASAINI MAKUBALIANO NA SHIRIKA LA BOTHAR KUTOKA...
Katibu Mtendaji wa Mfuko Kichocheo wa SAGCO Bwa. John J. Kyaruzi akisaini makubaliano hayo na Mwasisi wa Shirika la Bothar Bwa. Peter Ireton huku wakishuhudiwa na Dkt. Bernard Muyeya (kulia) Mkurugenzi...
View Article