SELENA GOMEZ AFICHUA SIRI YA JUSTIN BIEBER
Ripoti kwamba Selena Gomez na Justin Bieber wanarudiana na kuachana mara kwa mara zimepata ufumbuzi kutoka kwa kimwana huyo."Nimemfahamu Bieber kwa muda mrefu na tunafurahiana kampani ya kila mmoja...
View ArticleWATUHUMIWA WATESWA NA POLISI
Washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya wizi wa kutumia silaha wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kutokuwa na imani na afya zao kutokana na mateso waliyoyapata kwa polisi wa kituo cha...
View ArticleHII STYLE IMETAWALA SANA KWENYE DALADALA
Hapo juu ni dereva wa Dala dala inayofanya safari za Mbezi - Muhimbili, akiwa anasubiri abiria leo asubuhi katika kituo cha Usalama, eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam, wakati gari hilo lenye namba...
View ArticleBAADA YA KUNYONGA MKE WAKE, AUWAWA KWA KIPIGO CHA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.
Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kisangwa kata ya Mcharo wilaya ya Bunda mkoa wa Mara, Batule Masanja anadaiwa kumuua mkewa wake kwa kumnyonga shingo kwa kutumia mikono yake kisha na yeye kuuwawa na...
View ArticleMDC CHATISHIA KWENDA MAHAKAMANI
Siku moja baada ya Rais Robert Mugabe na Zanu PF kutangazwa kushinda uchaguzi Mkuu nchini humo, baadhi ya wafuasi wa upinzani kutoka chama cha MDC wanasema wameshambuliwa na wenzao wa ZANU PF.Baadhi ya...
View ArticlePIYAH AZALIWA DUME ATAMANI KUWA MWANAMKE
Piyah Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa akiwa mwanaume mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika uti wake wa mgongo na miguu.Mwanaume huyo anatamani na...
View ArticleRIHANNA AJIACHIA NDANI YA CARNIVAL
Kila mwaka wananchi wa nchi ya Barbados anapoishi muimbaji Rihanna huungana wananchi wote kusherehekea tamasha la Crop Over Carnival, ambapo kila mwaka Rihanna huungana na wananchi wengine kwa ajili...
View ArticleKALA JEREMIAH KUACHIA NGOMA MPYA WIKI IJAYO
Msanii wa Hip Hop nchini Kala Jeremiah anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Jaribu kujiuliza' ambayo imerekodiwa katika studio za home town chini ya mtayarishaji Nahreel.
View ArticleMOTO WATEKETEZA UWANJA WA NDEGE KENYA
Moto mkubwa umetokea katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta ulioko jijini Nairobi. Kwa sasa moto huo umeweza kudhibitiwaRais Uhuru Kenyatta amewasili katika uwanja huo na anatarjiwa...
View ArticleSAFARI YA DIAMOND YAKWAMA BAADA YA UWANJA WA NDEGE KENYA KUFUNGWA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnumz ni miongoni wahanga katika ajari ya moto iliyotokea katika Uwanja wa Ndege nchini Kenya.Moto huo umetokea majira ya saa moja asubuhi ndani ya...
View ArticlePETER OKOYE AMVALISHA 'DEMU' WAKE PETE YA UCHUMBA
Muimbaji kutoka kundi la P Squar, Peter Okoye amemvalisha pete ya uchumba 'demu' wake kwa mtindo ulioibua hisia za tofauti kwa mashabiki wake.Muimbaji huyo ambaye ameamua kumsuprise mpeni wake huyo kwa...
View ArticleMTOTO WA USHER ALAZWA ICU
Mtoto wa kiume wa Usher Raymond mwenye umri wa miaka 5 amelazwa hospitali katika wodi ya wagonjwa wa uangalizi (ICU), baada ya kupata ajali kwenye bwala la kuogelea
View ArticleMILIONI 10 KWA TAARIFA ZA WASHUKIWA ZANZIBAR
Polisi nchini Zanzibar wameahidi kutoa zawadi ya shilingi milioni 10 za Tanzania kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazopelekea kukamatwa kwa watu waliowashambulia wasichana wawili waingereza kwa...
View ArticleMAREKANI YATAHADHARISHA PAKISTAN
Serikali ya Marekani imewaagiza wafanyikazi wake wasio husika na maswala ya dharura kuondoka katika afisi yake ya ubalozi katika mji wa Lahore nchini Pakistan.Afisa mmoja nchini Marekani anasema amri...
View ArticleBREAKING NEWS: PICHA YA KWANZA YA SHEIKH PONDA AMEPIGWA RISASI
Sheikh Ponda akiwa anaingizwa katika chumba cha matibabu, MOI leo mchana, baada ya kupokelwa katika Hospitali ya muhimbili. Chini ni jengo la MOI mahali alipo kwa sasa.
View ArticleROSE NDAUKA AFANYA SHOO KWA MARA YA KWANZA
MSANII wa filamu nchini Rose Ndauka kwa mara ya kwanza amefanya shoo ya aina yake ya nyimbo ya bongo fleva aliyoshirikiswa na kundi la TNG, katika tamasha la sikukuu ya Iddi lililofanyika Dar Live...
View ArticleBAKWATA LAITISHA UCHUNGUZI KUHUSU PONDA
Baraza la waisilamu Tanzania limeunga mkono kauli ya Jumuiya ya taasisi za kisilamu za kuitaka serikali kuchunguza kwa kina tukio lililopelekea kupigwa risasasi kwa mhubiri wa kiisilamu Sheikh Issa...
View ArticleMUGABE ATOA HUTUBA BAADA YA UCHAGUZI
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anatarajiwa kutoa hotuba yake ya kwanza tangu kushinda uchaguzi mkuu wa Zimbabwe zaidi ya wiki moja iliyopita.Mugabe atahutubia umma wakati wa sherehe za kuadhimisha siku...
View Article