Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

HII STYLE IMETAWALA SANA KWENYE DALADALA

$
0
0

Hapo juu ni dereva wa Dala dala inayofanya safari za Mbezi - Muhimbili, akiwa anasubiri abiria leo asubuhi katika kituo cha Usalama, eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam, wakati gari hilo lenye namba za usajili T845BEX likielekea Muhimbili. (Picha na Mdau wa Blog)

Hii style sijui itaisha lini, ndugu zetu wa daladala sijui lini mtaelewa kuwa hiyo ni sare ya kazi yenu, kwa kukataa hiyo ina maana hamuipendi hiyo kazi ndio maana, na matokeo yake pia sio mazuri kwani hata mnavyoendesha magari na kuwahudumia abiria pia mnafanya bila kujali. Ofcouse hilo ni wazi kwani majibu yenu na mazingira yenu yanajulikana.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles