$ 0 0 Msanii wa Hip Hop nchini Kala Jeremiah anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Jaribu kujiuliza' ambayo imerekodiwa katika studio za home town chini ya mtayarishaji Nahreel.