CHINA YAKANUSHA KUPELEKI NYAMA YA BINADAMU AFRIKA
Na Mwandishi WetuBalozi wa China nchini Zambia ametoa taarifa jumanne wiki hii yenye lengo la kupambana na ‘uzushi’ unaochafua hadhi ya nchi yake barani Afrika. “Hii ni kashfa isiyokubalika yenye lengo...
View ArticleOFISI ZA ARDHI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA CHUKUENI HATUA
Muonekano wa Ofisi za ardhi katika Halmashauri ya jiji la Mbeya zikiwa katika sura ya kupendeza ,nani ofisi nyeti sana katika halmashauri hiyo ,jambo la kusikitisha ofisi hizo ukizitizama kwa muonekano...
View ArticleZITTO AHOFIA KUTOWEKA KWA USAFIRI WA NDEGE NCHINI
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe,(ACT-Wazalendo),amesema kuna hati hati ya ndege kutotua nchini kwa siku tano mfululizo kutokana na uhaba wa mafuta kwani mafuta yaliyoletwa nchini...
View ArticleHAYA NDIYO USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA MACHACHARI DIEGO SIMEONE
KUTOKA MADRID, HispaniaKocha Diego Simeone wa Atletico Madrid Mei 28, atakiongoza kikosi chake kucheza fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Real Madrid. Mfahamu Diego Simeone kwa undani zaidi:...
View ArticleMAKONDA AZITAKA MANISPAA DAR KUJENGA MACHINJIO YA KISASA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amezitaka Manispaa zote za Jijini humu kujenga machinjio za kisasa yatakayoweza kuzalisha nyama nyingi ambayo itachangia kuwepo kwa viwanda vya kusindika...
View ArticleSUKARI "YAKAUKA" MANISPAA YA KIGOMA-UJIJI, KILO SH. ELFU 5,000
Mzunguko (Roundabout) na Stesheni kuu ya reli Kigoma. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said) NA K-VIS MEDIAMKOA wa Kigoma umekaukiwa na sukari kuanzania Ijumaa Mei 20, 2016 na taarifa ya Ofisi ya Biashara...
View ArticlePSPF YAWAELIMISHA WASTAAFU ZANZIBAR KUJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI KWA HIARI
 Mwanachama wa Jumuiya ya Waastafu wa Muungano akisoma risala kwa Wajumbe wa Mfuko huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Sanaa Rahaleo chini ya Ufadhili wa...
View ArticleMELISA JOHN ASHINDA WA AIRTEL TRACE MUSIC STARS TANZANIA
Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Tanzania 2016, Melisa John, akiimba mara baada ya kutangazwa mshindi katika fainali za shindano la Airtel Trace Music Stars zilizofanyika katika ukumbi wa Julius...
View ArticleBALOZI WA KUWAIT AKABIDHI MSAADA WA DAWA NA MAJI KAMBI ZA KIPUNDUPINDU ZANZIBAR
Madawa na Maji vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini TanzaniaBalozi Jasem Al-Najem, kwa Wizara ya Afya kwa ajili ya Kambi za Kipindupindu Zanzibar.Balozi Jasem Al-Najem, akiwasili katika viwanja...
View ArticleAPRILI YAVUNJA REKODI YA JOTO KALI ZAIDI DUNIANI
Mwezi Aprili mwaka huu umekuwa mwezi wenye joto zaidi katika historia ya dunia, limesema Shirika la Hali ya Hewa duniani WMO katika ripoti yake ya jana (Jumamosi).Taarifa iliyotolewa la WMO inaonyesha...
View ArticleDAR ES SALAAM INAONGOZA KWA AJALI ZA BARABARANI
Na Fatma Salum- MAELEZO, Dodoma.Serikali imesema kuwa Jiji la Dar es Salaam linaongoza kwa kuwa na ajali nyingi za barabarani kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2013 hadi 2015 zilizosababisha...
View ArticleSERIKALI YAKAMATA KILO 140 ZA DAWA ZA KULEVYA NCHINI
Na MAELEZOSerikali imefanikiwa kukamata takribani kilo 139.69 za dawa za kulevya ikiwemo kilo 53.49 za Heroin, Cocaine kilo 86.2 kuanzia mwaka 2015 mpaka Aprili mwaka huu.Kwa mujibu wa taarifa kwa...
View ArticleSERIKALI KUJENGA NYUMBA 9500 KWA AJILI YA ASKARI MAGEREZA
Na Fatma Salum- MAELEZO, Dodoma.Serikali kupitia jeshi la Magereza imesaini Mkataba na Kampuni ya Poly Technologies ya China kujenga nyumba 9,500 kwenye vituo vyote vya Magereza nchini.Hayo yamesemwa...
View ArticleSERIKALI KUENDELEA KUONGEZA BAJETI KWA AJILI YA BARABARA.
Na MAELEZO, Dodoma.SERIKALI imesema itaendelea kuongeza bajeti kwa ajili ya barabara kadri uwezo wa kifedha utakavyoongezeka.Hayo yamesemwa leo Bungeni Dodoma na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za...
View ArticleSWALI LILOMTUMBUA KITWANGA BUNGENI LAJIBIWA
Swali lililopelekea kutumbuliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga limejibiwa rasmi na Naibu Waziri wa Wakati akijibu swali hilo leo Bungeni,mjini Dodoma Mhandisi Masauni...
View ArticleUZINDUZI WA KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION (KFDF) WAFANA
Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Kariakoo family Development Foundation Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi polisi mstaafu Jamal Rwambow akiogea machache na amekitaka chama hicho kujali maendeleo ya...
View ArticleDTB YAKUTANISHA WATEJA WAKE TANGA
Meneja wa Tawi la Moroko, Benki ya Diamond Trust (DTB), Bw. Waziri Kindamba akiongea na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika ghafla iliyofanyika mkoani Tanga hivi karibuni. Aliyekaa katika mbele wa...
View Article