Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

JENGO PACHA HALIVUNJWI KWA SASA

$
0
0
 JENGO LILIAMRIWA KUVUNJWA LILOKO KARIBU NA JENGO LILIPOROMOKA NA KUUA KUTOVUNJWA

 Halmashauri ya Manispaa ya Ilala imesema hatma ya jengo la ghorofa 16 (pichani) lililoko mtaa wa Indira Gandhi na Asia lililoamriwa kuvunjwa na Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, haijaeleweka kwa sababu Mahakama imeweka zuio la kuvunjwa kwa jengo hilo.

Kwa mujibu wa Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala Tabu Shaibu " haitawezekana kuvunjwa jengo hilo kwa sasa kwa sababu mmiliki wa jengo hilo, Bw. Rada Damji amefungua kesi ya kupinga amri hiyo"

"Kwa sasa kesi iko mahakamani, mmiliki kapewa zuio la kuvunja," aliongeza Shaibu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles