ZIARA YA UVCCM KATIKA WILAYA TATU ZA MKOA WA DAR ES SALAAM
Kaimu Mkuu wa Idara ya Hamasa, Sera Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Vijana wa CCM, Taifa, Abubakar Asenga (wapili kulia), akiwasili kuzungumza na Vijana wa UVCCM Wilaya ya Temeke, katika mkutano wa...
View ArticleSHULE YA MSINGI MBAGALA MAJIMATITU YACHIMBIWA VISIMA VYA MAJI.
Msimamizi wa mradi wa uchimbaji wa visima vya maji katika Shule ya Msingi Mbagala majimatitu kutoka DAWASA Muhandisi Abel Chibelela akiangalia maendeleo ya kisima kimoja kati ya viwili vinavyochimbwa...
View ArticleBEN POL, VJ ADAMS & G NAKO WAJA NA COLLABO KUBWA YA 'NINGEFANYAJE REMIX'
Baada ya video ya ‘NINGEFANYAJE’ kuzitawala nafasi za juu kabisa kwenye chati za Top 10 East na Africa Rox za kituo Soundcity Tv cha Nigeria pamoja na MTV Base, mfalme wa R&B Tanzania, Ben Pol...
View ArticleOFISI YA RAIS-UTUMISHI YAENDELEA NA VIKAO KAZI KWA NJIA YA VIDEO (VIDEO...
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Susan Mlawi (kushoto) akifungua kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni,...
View ArticleMABORESHO YA UWANJA WA UHURU YANAENDELEA VIZURI NA KURIDHISHA
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Makoye Alex Nkenyenge akielekeza jambo kuhusu wavu uliowekwa kwa ajili ya kuzuia mashabiki wasirukie na kuharibu miundombinu katika maeneo ya vyoo vya uwanja wa...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJLIWA AMPA POLE PROFESA TIBAIJUKA, AWASILI NGARA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa kahawa iliyoyokaangwa maarufukwa jina la akamwani ikiwa ni mapokezi ya kimila ya Wahaya wakati alipokwenda nyumbani kwa Waziri wa Zamani wa Ardhi, Profesa Tibaijuka...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA MIKOA, MKURUGENZI WA TAKUKURU NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Mhe. Said Meck Sadiki kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro leo Ikulu jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleSERIKALI YAKUSANYA BILLIONI 12 KUTOKA KWA WAKWEPA KODI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Bw. Alphayo Kidata kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).Na MAELEZOSerikali kupitia Mamlaka ya Mapato...
View Article