WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA APOKEA MISAADA WILAYANI RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa ambao unafanywa kwa ufadhili wa kampuni ya HUAWEI ya China , kijijini hapo, Februari 28, 2016. Kulia...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZINDUA DUKA LA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akizungumza na waandishi wa habari juu ya ufunguzi wa duka la simu za mkononi na huduma za matengenezo ya simu Samora jijini Dar es Salaam. Wananchi...
View ArticleMAHAKAMA YAKUTANA NA WADAU WA HAKI YASISITIZA UTOAJI WA HAKI KWA WAKATI
Mtendaji Mkuu wa Mahakama Bw. Hussein Katanga (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao cha Mrejesho wa Wadau walioshiriki katika utoaji wa Elimu ya Sheria kwa wananchi Februari 1 hadi 3, 2016...
View ArticleSERIKALI YALITAKA DIRA YA MTANZANIA KUKANUSHA TUHUMA DHIDI YA BALOZI OMBENI...
Na MAELEZODar es Salaam.Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw.Assah Mwambene ameutaka uongozi wa Gazeti la Dira ya Mtanzania kukanusha haraka na kuiomba radhi Serikali na Katibu Mkuu Kiongozi,...
View ArticleWAZIRI AWAPA MOTISHA TWIGA STARS
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa motisha kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu wanawake (Twiga Stars) wakishinda katika mchezo wake dhidi ya Zimbabwe...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AMLAKI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA JIJINI ARUSHA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiongea na wanahabari mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu...
View ArticleMAJALIWA AWASILI MWANZA APOKELEWA KWA KISHINDO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza , Magesa Mulongo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na...
View ArticleMWANDISHI WA SIBUKA TELEVISION APIGWA DODOMA
Na Mwandishi Wetu, Mpwapwa.MWANDISHI wa habari wa kituo cha Televisheni ya Sibuka Barnabas Kisengi amejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kupigwa na kujeruhiwa na mwenyekiti wa kijiji cha Mtamba...
View ArticleLUKUVI ATEMBELEA ENEO LA UBOMOAJI WA JENGO LA GHOROFA 16
Mafundi wakiendelea na Ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita (6) tu.CHINI: Waziri wa Ardhi, Mhe. William Lukuvi akiangalia maendeleo ya kazi ya ubomoaji...
View ArticleBANK OF AFRICA YAWAJENGEA UWEZO WAFANYABIASHARA WA ZANZIBAR
Mkufunzi wa Warsha ya ilioandaliwa na Bank of Africa Erick Chrispin akitowa Mada wakati wa Warsha hiyo iliowajumuisha Wafanyabiashara na Wajasiriamali Zanzibar katika Kuboresha na Kujenga Biashara...
View ArticleTIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YA ZIMBABWE KUWASILI NCHINI KESHO
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanawake ya Zimbabwe, inatarajiwa kuwasili kesho Alhamis mchana wakiwa na msafara wa watu 29, wakiwemo wachezaji 20 pamoja na viongozi 9 tayari kwa ajili ya mchezo wa...
View Article