NAY WA MITEGO AVUNJIWA KIOO CHA GARI AKIELEKEA KUZINDUA VIDEO
Msanii wa music wa kizazi kipya Ney wa Mitego, jana usiku alivamiwa na kuvunjiwa kioo cha nyuma cha gari yake. Nay ambaye amekuwa gumzo kwa kipindi cha takriban mwezi mmoja sasa, alikuwa njiani...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MTWARA KWA ZIARA YA SIKU MOJA
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mtwara baada ya kuwasil kwenye uwanja wa ndege ea Mtwara kwa ziara ya siku moja mkoani humoFebruari 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri...
View ArticleMWANAMUME AJIFANYA MWANAFUNZI MIAKA 4 MAREKANI - BBC
 Artur Samarin alipigwa picha akiwa na mbunge Patty Kim 2014Mwanamume mmoja kutoka Ukraine amekamatwa baada ya kujifanya mwanafunzi wa shule ya upili bila kugunduliwa kwa miaka minne Marekani. Artur...
View ArticleCHEKI DOGO AULAMBA JEZI YA MESSI, TENA KASAINI MWENYEWE MESSI
Mvulana wa Afghan akivalia jezi nzuri aliyotumiwa na MessiMvulana wa taifa la Afghanistan ambaye aligonga vichwa vya mitandao ya kijamii alipovaa fulana ya mfuko wa plastiki ilio na jina la Lionel...
View ArticleINFENTINO RAIS MPYA FIFA, ANAKAZI KUBWA YA KUREJESHA IMANI KATIKA SOKA NA FIFA
Kwa miaka mitano sasa, pamekuwa na mshindi mmoja tu, hatimaye Sepp Blatter, mtu aliyefungiwa na kusemwa vibaya amefikia mwisho na nafasi yake kuchukuliwa na Gianni Infantino, Rais mpya wa shirikisho la...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA - MTWARA (PICHA)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na walimu na wakufunzi wa Chuo cha Elimu cha Mtwara baada ya kuzungumza nao chuoni hapo , Februari 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu,Kassim...
View ArticleWAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO NAPE AWAPONGEZA EFM
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa hafla ya kutimiza mwaka mmoja kwa kipindi cha Makao Makuu ya Michezo (Sports Head Quarter) kinachorushwa...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ANUSA UFISADI BANDARI YA MTWARA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua bandari ya Mtwara na kunusa harufu ya ufisadi katika utoaji wa zabuni ya ujenzi wa gati mpya tatu. Waziri Mkuu ambaye alikagua eneo la ujenzi wa gati hizo jana...
View ArticleKESI YA MWANASIASA WA RWANDA INGABIRE YATUA MAHAKAMA YA AFRIKA
Arusha, 28 Februari, 2016 (EANA)-Kesi ya mwanasiasa mfungwa raia wa Rwanda,Bibi Victoire ingabire (42), itasikilizwa katika mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) yenye makao yake...
View ArticleRAIS AWASILI ARUSHA KUONGOZA MKUTANO WA 17 WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Msshariki Mhe Joshua Nassari aliyekuwa mmoja wa viongozi na wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea alipowasili Uwanja wa Ndege...
View ArticleKUWASILI KWA RAIS DKT MAGUFULI KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT LEO (PICHA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa...
View Article