Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO NAPE AWAPONGEZA EFM

$
0
0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa hafla ya kutimiza mwaka mmoja kwa kipindi cha Makao Makuu ya Michezo (Sports Head Quarter) kinachorushwa hewani kupitia 93.1 Efm Radio jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa EfmRadio Frances Ciza akizungumza wakati wa hafla ya kutimiza mwaka mmoja kwa kipindi cha Makao Makuu ya Michezo (Sports Head Quarter) kinachorushwa hewani kupitia 93.1 Efm Radio jana jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikata keki ya birthday ya kipindi cha Makao Makuu ya Michezo (Sports Head Quarter) kinachorushwa hewani kupitia 93.1 Efm Radio jana jijini Dar es Salaam.Kipindi hicho kimetimiza mwaka mmoja tokea kuanzishwa kwake.Kulia nim Mkurugenzi Mtendaji wa EFM Radio Francis Ciza.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wapili kulia) pamoja na mashabiki wa Timu za Taifa wakiwa wameshika keki ya birthday ya kipindi cha Makao Makuu ya Michezo (Sports Head Quarter) iliyotolewa na mashabiki hao wakati wa hafla kutimiza mwaka mmoja tokea kuanzishwa kwa kipindi hicho jana jijini Dar es Salaam.
Picha Zote na Frank Shija, WHUSM

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles