↧
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 12/01/2014
↧
HII SHIDA: TAMU SANA LAKINI MADHARA YAKE SASA… SOMA HAPA
Kikundi cha wanaharakati nchini Uingereza kimeanza juhudi za kutaka makampuni ya vyakula na vinywaji vya kuhifadhiwa kwenye chupa na mikebe kama Soda kupunguza kiwango cha sukari katika bidhaa zao.
Hii ni sehemu ya kampeini ya kutaka kukabiliana na tatizo la kiafya la unene kupita kiasi pamoja na ugonjwa wa kisukari nchini humo.
Kauli mbiu yao ni kuchukua hatua dhidi ya kiwango cha sukari kwenye chakula .
Kikundi hiki kimeanzishwa na wanaharakati walioanzisha harakati za kushurutisha makampuni kupunguza kiwango cha Chumvi katika vyakula vinavyohifadhiwa kwenye mikebe tangu mwaka 1990.

Wanaharakati hawa wanataka kuwajulisha watu kujizuia na vyakula vyenye sukari nyingi na kushurutisha wenye makampuni kupunguza sukari katika vyakula hivyo.
Wanaamini kwamba makampuni yanaweza kupunguza bidhaa hiyo kwa asilimia 20 au 30 katika miaka mitano ijayo.

Aidha wanaharakati wanataka kuiwekea malengo sekta ya chakula kupunguza kiwango cha sukari hatua kwa hatua kiasi cha wateja kukosa kutambua tofauti yoyote katika ladha ya vyakula hivyo.
Sukari ni bidhaa ambayo hutumiwa sana katika vyakula vingi ikiwemo, mikate, soda, vyakula vya mkebe na katika vyakula vingine ambavyo hata havihitaji sukari.
Na ndio maana sio jambo la kushangaza kuwa soda moja ya mkebe ina vijiko saba vya sukari.
Maji, mtindi na vyakula vingine ambavyo hata havihitaji kuwa na sukari vinawekwa sukari.
KWA HISANI YA BBC

BREAKING NEWS: KESHO NI SIKUKUU YA MAPINDUZI, HAKUNA KAZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ametangaza kesho ni siku ya mapumziko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dr. Shein alitangaza baada ya kunong'onezana na Rais Jakaya Kikwete na wote kukubaliana itakuwa ni sikuu ya Mapinduzi nchi nzima. Hayo yalitokea katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

TAARIFA YA IKULU: KESHO SIKU YA MAPUMZIKO, JUMANNE MAPUMZIKO PIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Rais Kikwete ameutangaza uamuzi huo mjini Zanzibar ambako leo ameungana na Watanzania na Wazanzibari wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, mwaka 1964.
Mapinduzi hayo yaliyoongozwa na mwasisi wa Zanzibar na Taifa la Tanzania, Hayati Abeid Amaan Karume yalifanikiwa kuung’oa madarakani utawala dhalimu wa Sultan na kuwawezesha kwa mara ya kwanza katika historia Waafrika walio wengine kujitawala ndani ya nchi yao wenyewe.
Yalikuwa ni Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofungua njia ya kuzaliwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar – miezi mitatu baada ya Mapinduzi hayo – Aprili 26, 1964.
SOMA ZAIDI …
Naye Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein ametangaza kuwa kesho itakuwa Siku ya Mapumziko Tanzania Visiwani kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Shein alitangaza mapumziko hayo wakati alipohutubia wananchi kwenye Uwanja wa Michezo wa Amaan mjini Zanzibar katika kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais Kikwete ameutangaza uamuzi huo mjini Zanzibar ambako leo ameungana na Watanzania na Wazanzibari wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, mwaka 1964.

CHADEMA YAJIBU TUHUMA DHIDI YA FREEMAN MBOWE
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA DHIDI YA MWENYEKITI WA TAIFA, FREEMAN MBOWE
Kama mojawapo ya mikakati ya baadhi ya watu wanaotaka kuhamisha mjadala wa makosa yanayowaandama ya utovu wa maadili na usaliti dhidi ya chama, hivi karibuni, Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe amezushiwa tuhuma zisizokuwa na ukweli wowote zikilenga kumchafua kwa nafasi yake ya uongozi na kuipaka matope taasisi anayoiongoza;
Tuhuma hizo ni pamoja na;
1.Kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mwaka 2005 eti alichukua fedha kutoka kwa Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono kiasi cha sh.Milioni 40 ili Mwenyekiti Mbowe asifanye kampeni katika jimbo hilo.
2. Mwaka 2008, eti Mbunge Mkono alimpatia Mwenyekiti wa Chama Taifa, sh. Milioni 20 kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Tarime, kisha akazitoa kwenye chama kama mkopo na akalipwa.
ENDELEA KUSOMA...
3. Mwaka 2010, wakati wa uchaguzi mkuu Mbunge Mkono eti alimpatia Mwenyekiti wa Chama Taifa sh. Milioni 200 kwa ajili ya kampeni za mgombea urais.
4. Mwaka huo huo wakati wa uchaguzi mkuu, eti Mwenyekiti wa Chama Taifa, alipokea sh. Milioni 100 kutoka kwa Rostam Aziz kwa ajili ya kampeni.
Idara ya Habari ya CHADEMA, inapenda kusema yafuatayo;
1. Hakuna ukweli hata mmoja katika tuhuma hizo. Ni uongo na uzushi uliopangiliwa kama moja ya mikakati ya watu wenye malengo ya kutaka kuilaghai jamii kwamba viongozi wa CHADEMA hawana tofauti na wale wa CCM na kwamba chama hiki kikuu cha upinzani kinachobeba matumaini ya Watanzania katika kupigania haki zao na kupinga kila aina ya ufisadi, kionekane hakina tofauti na chama kilichoko madarakani, ambacho kimepoteza ushawishi kwa wananchi.
2. Matokeo ya uongo huo ni kutaka kuisaidia CCM na kugeuza mjadala.
3. Idara ya Habari ya CHADEMA inapenda kuuambia umma wa Watanzania wote, hususan wanachama, wapenzi, mashabiki wa CHADEMA na wapenda mabadiliko nchini kwamba,Mwenyekiti wa Chama Taifa, ameshawasiliana na mawakili walifanyie kazi suala hili kwa ajili ya kuchukua hatua za kisheria.
4. Kwa uhakika tunapenda kuiambia jamii ya Watanzania wote, hususan wanachama, wapenzi, mashabiki wa CHADEMA na wapenda mabadiliko wote nchini, kwamba; Chama wala Mwenyekiti wa Chama Taifa, mahali popote na wakati wowote, hajawahi kupokea msaada wa fedha hizo kutoka kwa waliotajwa kwa malengo yaliyosemwa.
5. Tungependa kuwaambia waliozusha tuhuma hizo, ni vyema kama wanapenda kutunza heshima kidogo waliyobakiza katika jamii kutokana na kuelemewa na mzigo wa tuhuma za utovu wa maadili na usaliti dhidi ya CHADEMA, badala ya kugeuka kuwa mabingwa wa kupika uongo, wajibu masuala ya msingi yanayowaandamana kuhusu mikakati yao ya kuhujumu CHADEMA na viongozi wake, ambayo iwapo chama kisingeibaini na kuchukua hatua za kinidhamu, ingesababisha kuua ndoto na matumaini ya Watanzania kufanya mabadiliko ya kimfumo na kiutawala, kwa kuiondoa CCM madarakani.
6. Taarifa kuhusu baadhi ya tuhuma katika mkakati huo ambazo zimemlenga Mwenyekiti wa Chama Taifa, kwa kuhusisha shughuli zake binafsi za uwekezaji, zitajibiwa kupitia taasisi husika.
Imetolewa leo Dar es Salaam na;
Tumaini Makene
Ofisa Mwandamizi wa Habari- CHADEMA

KAYA 1,426 KUHAMISHWA KISIRI, WENGI WAHOJIWA KISIRI
Bunda.
Vyanzo vilivyofikia gazeti hili vinaeleza kuwa katika kupima mwitikio wa wakazi wa vijiji hivyo Desemba 16 na 31 mwaka jana baadhi ya maofisa kutoka TANAPA, ofisi ya mkuu wa mkoa, ofisi ya mkuu wa wilaya, ardhi, mazingira na mali asili walikutana na wawakilishi kutoka vijiji hivyo katika Hoteli ya Kilipark mjini Bunda.
Wawakilishi hao walikuwa ni watu maarufu na wenyeviti wa serikali ya vijiji hivyo ambapo kila mtu kwa wakati wake aliitwa ndani ya ukumbi na kuhojiwa kuhusu hatua ya kuwahamisha wananchi katika vijiji hivyo.
“kweli tuliitwa pale na kila mtu alikuwa anaingia mmoja mmoja…..mimi zamu yangu ilipofika niliitwa kwa jina na nilipoingia ndani ya ukumbi nilikuta watu sita, wawili walijitambulisha kuwa wanatoka TANAPA…” kilisema chanzo hicho na kuongezea,
“alikuwepo ofisa kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mara…..hawa wa TANAPA na ofisi ya mkuu wa mkoa sikuwakariri majina lakini wale waliotoka hapa wilayani katika ofisi ya mkuu wa wilaya, ardhi, mazingira na mali asili nawafahamu(majina tunahifadhi)”
“baada ya maelezo mengi yaliyolenga kutushawishi kukubali kuhama mwishoni walituambia turudi vijijini kuwashawishi wananchi wakubali kuhama” kilieleza na kuongezea.
“nilipohoji sababu ya wananchi kuhamishwa walisema eneo la vijiji hivyo tangu mwaka 1974 vilikuwa ni mapito ya wanyama kwenda Ziwani na vilitengwa rasmi kisheria iliyosainiwa na rais wa kwanza hayati Mwalimu Nyerere na kwamba sasa imefika wakati wananchi kupisha” kilisema chanzo.
Kwa mujibu wa chanzo hicho wakazi wa vijiji hivyo walitakiwa kujiandaa kuhama Julai mwaka huu na kwamba watakaokubali watalipwa fidia.
Pia utafiti umebaini kuwa fukuto la kutaka kuhamishwa kwa vijiji hivyo iliibuka mwaka 2002 ambapo mkuu wa wilaya ya Bunda kwa wakati huo Bi. Hawa Mchopa hakukubaliana nalo.
Katika ushauri wake Mchopa aliiomba serikali kuweka uzio kati ya wananchi na mapito hayo ya wanyama ili kuwapa njia rahisi ya kutowaingilia wananchi na kwamba serikali ingechimba mabwawa ndani ya hifadhi ya Serengeti kupunguza uhaba wa maji kwa wanyama hao.
Mwishoni mwa wiki hii viongozi wa vijiji hivyo vitatu viliitisha mkutano wa adhara na kutoa msimamo wao kwamba kama Serikali na TANAPA ina mpango wa kuwahamisha wananchi wao hawako tayari.
Katika mkutano wa adhara wa Kijiji cha Nyatwali uliomalizika jana muda mfupi tunaingia mtamboni Mwenyekiti wa Kijiji hicho Jumanne Watema kwa niaba ya wananchi walimtaka mkuu wa mkoa wa Mara kufika katika vijiji hivyo kuzungumza na wananchi kuhusu sakata hilo.
Wananchi kutoka kaya 1426 katika vijiji vitatu vya Nyatwali, Tamao na Serengeti wametoa msimamo wao kwa kuitaka serikali kuweka wazi mpango wa kuhamisha vijiji hivyo na kwamba hawaamini maelezo ya mkuu wa wilaya hiyo, Joshua Mirumbe.
Wamedai kuwa mkuu huyo wa wilaya anahamasisha uwekezaji wa kitalii kwa kujenga makambi ya kitalii katika vijiji hivyo huku akikanusha kuwepo mpango wa kuhamisha vijiji hivyo wakati dalili zinaonekana.
Vyanzo vya habari vimebaini kuwa upo mpango wa vijiji hivyo kuhamishwa kupisha mapito ya wanyama kwenda ziwa Victoria kunywa maji na kuweka makambi ya kitalii.

Kuhusu ujenzi wa makambi ya kitalii wananchi hao walisema ni jukumu la mwekezaji kufika kijijini na kuingia mkataba na wananchi na sio viongozi wa ngazi ya juu.
Wananchi hao pia wanaungwa mkono na mbunge wa jimbo la Bunda Stephen Wassira.
Baada ya gazeti hili kuibua mpango wa wananchi hao kutaka kuhamishwa Januari 6 mwaka huu mkuu wa wilaya ya Bunda Joshua Mirumbe aliitisha kikao cha kamati ya serikali za vijiji hivyo vitatu na kukanusha mpango wa kuhamisha vijiji hivyo.
Hata hivyo katika mikutano ya adhara iliyokaa mwishoni mwa wiki wananchi hao waliomba mkuu wa wilaya na mkuuwa mkoa wa Mara kufika kijijini hapo na kuzungumza na wananchi katika mkutano wa adhara kuhusu sakata hilo.

MAKUBWA..!: SIKU YA KUTOVAA SURUALI ILIVYO SHEREHEKEWA JANA
Wapanda treni za mijini ulimwenguni walikuwa na siku nyingine ya kutoka na kusherehekea siku ya kuacha sehemu za miili yao wazi kuanzia kiunoni kwenda chini kwa kutokuvaa suruali jana, ikiwa ni kuadhimisha kwa mwaka wa 13 maarufu kama “No Pants Subway Ride”
Siku hiyo husherehekewa tarehe 12 januari kila mwaka kwa nchi zenye usafiri wa treni mijini.
Wasafiri na watumiaji usafiri huo wa mjini katika miji mikubwa ya Sydney(Australia), Beijing na Hong Kong(China) waliingia kwenye usarifi wa treni na tram waliushangaza ulimwengu wakiwa hawana suruali, jambo ambalo limeanza kuenea katika miji mingi duniani tokea ianzishwe na kundi la Wamarekani linalojiita Improve Everywhere in New York (imarisha kila kitu New York) 2002.
Kwa mujibu wa mtandao wa Yahoo News, miaka 12 iliyopita, ni watu 7 tu ndio walishiriki katika kuzindua tukio hilo lakini sasa hivi ni maelfu ya watu katika miji mikubwa duniani wanashiriki katika kinachoitwa “mahadhimisho ya upumbavu”
Utaratibu ni mrahisi tu, washiriki wanakutana katika njia maalumu waliyo kubaliana kila mwaka bila kuwa na suruali na kuanza safari kwa kutumia reli au barabara na kushtua watu huku wakicheka
Chupi lazima zivaliwe, pamoja na kwamba chupi za mitindo mbalimbali zinakubalika, waandaaji hupenda kukagua wahusika wote mapema angalau kuanzia kiunoni kwenda juu ili kuhakikisha watu hao wamevaa kama siku za kawaida.

PICHA ZAIDI...
Sare za kazini pamoja na suti za maofisini hukubalika zaidi ili kuonesha zaidi tofauti katika miili yao na haswa wakiwa na baskeli, mikoba ya ofisini(briefcase), mifuko ya shoping na kadhalika.
Washiriki pia hawaruhusiwi kusemeshana na washauriwa kuwa na kitu cha kufanya ukiwa kwenye treni mfano kusoma magazeti, vitabu, kufuma n.k.
"washiriki hamtakiwi kufahamiana au kuonesha mnafahamiana. Ukiulizwa jibu ni kwamba ulisahau kuvaa suruali” mwaandaaji alitoa masharti kwa washiriki kabla ya shughuli nzima kuanza huko Sydney, Australia.
"sisitiza kuwa imetokea tu kwamba na mwenzio pia alisahau kuvaa suruali kama wewe, kuwa mcheshi na mpole” aliongeza
Washiriki wa siku ya kutovaa suruali Beijing, China
Washiriki wakiwa kwenye treni Hong Kong

BREAKING NEWS: WEMA SEPETU MJAMZITO? SOMA HAPA
Msanii maarufu wa Bongo Movie, mrembo na mwenye pesa pengine kuwazidi wengi na ambaye hivi karibuni amezua mijadala mikubwa baada ya kurudiana na mpenzi wake wa zamani Diamond, ambaye pia ni maarufu katika muziki wa kizazi kipya nchini na mwenye kuongoza kwa mapato nchini, imegundulika kuwa ana ujauzito wa miezi kadhaa.
Wema ambaye alishindwa kuficha hisia zake na hatimae kuweka kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa instagram,” …mmmmmh jamani hichi kitumbo… hakifichiki now…” kuashiria kuwa mabadiliko ya mwili yameshaanza kuonekana (Picha chini inaonesha ujumbe huo kamili).
Mtandao wa huu ulianza kuhisi taarifa hizo na kuamua kuzifuatilia kwa karibu ili kujua nini haswa kinaendelea au ni hisia tu. Ndipo mwandishi alipochukua jukumu la kumtafuta mlimbwende huyo Wema Sepetu na kugonga mwamba.
Hata hivyo jitihada hizo hazikuishia hapo ndipo kilipopatikana chanzo cha karibu na Wema na kudai kuwa “ amekuwa akilalamika mabadiliko hayo na hata kusikika akisema anaihisi ameconsive…” kilisema chanzo hicho bila kutaka kutambulika hadharani.
“Ni kweli itakuwa hivyo na ndio maana Diamond aliamua kumtangaza rasmi siku hile ya chrismas” aliongeza.
Diamond ambaye alimtupilia mbali mpenzi wake Penny na kurudiana na Wema mapenzi yao hayakufichika kwani wakiwa China walipiga picha za mahaba na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii na kuzua hisia tofauti.
SOMA ZAIDI...
Hivi karibuni wamekuwa karibu sana kimapenzi na kuamua kuonesha siri zao za ndani bila kuficha, “mwenye macho haambiwi ona… juzi tu wameweka video zao wakiwa kitandani kila mtu ameziona, lakni pia Diamond kumnunulia nyumba baada ya kusikia mkataba wake umeisha na kwamba hautoongezwa, na mambo mengine kibao” kiliongeza chanzo hicho
“lakini tusubiri miezi tisa tu sio mingi na mimba huwahaifichiki bana tutaona tu” alimaliza
↧
TAHADHARI - VIDEO YAWEZAKUKUSUMBUA: JAMAA WAWILI WAKISURUBIWA LIVE
↧
↧
MAGAZETI YA LEO TAREHE 13/01/2014
↧
BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YA BASI LA SHABIBY NA PRINCES MUNAA

Taarifa zilizopatikana kwenye eneo la tukio zimeelezwa kuwa Basi hilo lenye namba T930BUW aina ya Yutong lililokuwa likiendeshwa na Dereva wake ambaye
amekimbia mara baada ya ajali hiyo linakadiriwa kuwa na abiria wapatao 48 lilipata ajali hiyo jana saa 6:50 mchana wakati lilipojaribu kulipita lori hilo upande wa kulia .
Taarifa hizo ambazo pia zimethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Singida zinasema kuwa kitendo hicho kilisababisha kuligonga Lori hilo RAA 496N aina ya MECEDES BENZ lililokuwa likitokea Mjini Kigali nchini Rwanda kwenda Dar es Salaam likiwa na dereva wake Barimana Benjamini (37) na kuanguka upande wa kulia wa Barabara na kujeruhi abiria wake .
↧
BREAKING NEWS: NI RONALDO NDIO MSHINDI, SIO MESS WALA RIBERY
Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Christiano Ronaldo jana usiku alinyakua tuzo ya mchezajii bora wa soka wa fifa wa mwaka 2013 na kuwashinda Lionel Mess wa Barcelona na Frank Ribery wa Bayern Munich.
Ronaldo ambaye alinyakuwa tuzo hiyo ya mchezaji bora wa dunia kwa mara kwanza mwaka 2008 alitangazwa kunyakua tuzo mwaka 2013 baada ya kupigiwa kura na makocha, manahodha na waandishi wa habari.
Kwa mujibu wa matokeo Ronaldo alipata kura 1365 akimshinda Messi aliyepata kura 1,205 na Ribery akiambulia kura 1,127.
Kwa upande wa wanawake golikipa wa Ujerumani Nadine Angerer alinyakuwa tuzo ya fifa ya mchezaji bora wa soka kwa upande wanawake huku aliyekuwa kocha wa Bayern Munich Jupp Heynckes akinyakua tuzo ya kuwa kocha bora wa dunia. (BBC)

LIVE APIGWA RISASI, KISA SIMU YAKE WAKATI WATU WANAANGALIA SINEMA
Aliyekuwa polisi mwenye cheo cha kapten ambaye kwa sasa ni mstaafu anashikiliwa na polisi kwa kuwapiga risasi watu wa wili siku ya jumatatu (jana) wakiwa kwenye ukumbi wa sinema imeripotiwa na AP.
Kwa mujibu wa mtandao wa Time, maofisa wa polisi huko Kaunti ya Pasco, Florida Marekani wamedai kuwa Bw. Curtis Reeves (miaka 71) alimtandika risasi Chad Oulson na mkewe Nochole wakati wakiangalia sinema Lone Survivor iliyochezwa na muigizaji maarufu Mark Wahlberg, kwa madai kuwa walikuwa wanatuma jumbe (text) fupi kwa simu zao za mkononi.
![]() |
Watu wengi hutumia simu zao wakiwa kwenye kumbi za sinema bila kujali usumbufu wanaosababishia wenzao, file photo |
Inadaiwa Bw. Reeves alimwambia Ouslon mara kadhaa waache kutumia simu zao kwani zinasumbua watu kwa sauti na mwanga wakati sinema hiyo inaendelea.
Inaripotiwa kuwa Reeves aliwachapa risasi wawili hao katika ukumbi wa sinema uitwao Cobb Theater, ulioko Wesley Chapel huko Florida, Marekani.
Kwa mujibu wa mwendesha ukumbi huo, Oulson (miaka 43) alitandikwa risasi kifuani na mkewe kupigwa mkononi, Chad alifariki muda si mrefu baadaye akiwa hospitali. Wakati mkewe akijeruhiwa.
Ajali hiyo imeanza kuzua mjadala kuhusu usalama wa majumba ya sinema, miezi 18 iliyopita baada ya watu zaidi ya kumi kuuawa katika kumbi za sinema huko Aurora, Colorado. Muuaji James Holmes aliachiwa huru kwa madai kuwa ana matatizo ya akili baada ya tukio hilo mwaka jana

HAYA SASA: ANGALIA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI BONGO
IMEDAWA kuwa hili ndio Baraza la mawaziri lilotangazwa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
J.Makamba...kilimo chakula na ushirika
Migiro...Afrika mashariki
Sitta...ulinzi
Mwakyembe...Tamisemi
Filikunjombe...uchukuzi
Kigoda....Fedha na uchumi
Prof. Kabudi Elimu na ufundi
Prof. Mwandosya...Utumishi
Mwanri...ujenzi
Dr. Magufuli....maliasili na utalii
Dr. Kitwanga....mifugo na uvuvi
Dr. Tizeba.....mambo ya ndani
Dr. Nagu...viwanda na biashara
Prof. Maghembe....maji
Prof. Muhongo....madini
Membe...mambo ya nje
Prof Tibaijuka....makazi
Prof. Mbawala....sayansi na tecknolojia
↧
WACHEZAJI 30 TWIGA STARS WAITWA KUIVAA ZAMBIA
Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage ametaja kikosi cha wachezaji 30 wanaoingia kambini kesho (Januari 15 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kujiandaa kwa mechi dhidi ya Zambia mwezi ujao.
Mechi hiyo ya kwanza ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) zitakazofanyika baadaye mwaka huu jijini Windhoek, Namibia itafanyika jijini Lusaka.
Wachezaji walioitwa kwenye kikosi hicho ni Amina Ally (Lord Baden Sekondari), Amisa Athuman (Marsh Academy), Anastazia Anthony (Lord Baden Sekondari), Asha Rashid (Mburahati Queens), Aziza Mwadini (Zanzibar) na Belina Julius (Lord Baden Sekondari).
Donisia Daniel (Lord Baden Sekondari), Esther Chabruma (Sayari Queens), Evelyn Sekikubo (Kwimba Chuoni), Fatuma Bushiri (Simba Queens), Fatuma Hassan (Mburahati Queens), Fatuma Issa (Evergreen) na Fatuma Mustapha (Sayari Queens).
Fatuma Omari (Sayari Queens), Happiness Hezron (Copa Coca-Cola Ilala), Maimuna Hamisi (U20 Tanzanite), Maimuna Said (JKT), Mwajuma Abdallah (Real Tanzanite), Mwapewa Mtumwa (Sayari Queens), Najiat Abbas (Makongo Sekondari) na Neema Paul (U20 Tanzanite).
Pulkeria Charaji (Sayari Queens), Semeni Abeid (Real Tanzanite), Shelder Boniface (Makongo Sekondari), Sophia Mwasikili (Sayari Queens), Theresa Yona (TSC Academy), Vumilia Maarifa (Evergreen) na Zena Khamis (Mburahati Queens).

SIO KWELI: HAKUNA TSUNAMI, NI UZUSHI MTUPU
Kuna taarifa inayosambazwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu za mkononi (SMS) kuhusiana na TMA kutoa tahadhari ya Tsunami
Taarifa rasmi ni kama ilivyotumwa awali kuhusiana na upepo mkali kwa Ukanda wa Bahari ya Hindi na Mvua kubwa.
Ujumbe huo unasomeka kama hivi:
TAHADHARI ya Tsunami: Kuanzia saa moja usiku
Tsunami itafika Tanzania na mawimbi yatakuwa makubwa
kuanzia muda huo. Taarifa zaidi itatolewa na Mamlaka ya
Hali ya Hewa Tanzania wakati wowote kuanzia sasa, kwa
mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Agness Kijazi.
Tunapenda kuwataarifu wadau wetu kuwa ili kutoa taarifa sahihi ni vizuri kuwasiliana na Ofisi zetu kwa maelezo ya kina zaidi kuepusha mkangamanyo kwa wananchi
Asante tena kwa ushirikiano wako,
Nakutakia Sikukuu njema ya Maulid,
Monica Mutoni
Ofisi ya Uhusiano
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.
↧
MWANAMKE AKAMATWA KWA KUUZA WATOTO, KISHA AWATOROKA POLISI
Arusha.
Mwanamke anayetumiwa kwa kufanya biashara ya watoto katika kijiji cha Ngiresi Wilaya ya Arumeru, Arusha, Martha Ringo, amedaiwa kutoroka chini ya ulinzi wa Kamanda wa kikosi cha Polisi jamii wa kijiji hicho Albert Loyi akisaidiwa na ndugu zake kwa lengo la kumwokoa kuingia katika mikono ya sheria.
Akizungumzia tukio la kutoroka mwanamke huyo, kamanda Albert Loyi amesema baada ya kupata taarifa za siri kuhusiana na Bi. Martha Ringo kutorosha watoto kwa lengo la kuwapeleke mkoani Kilimanjaro kibiashara, alianza kuweka mtego .

Aidha alisema mwanamke huyo anayedaiwa kuwa ana danguro la biashara ya watoto mkoani Kilimanjaro anadaiwa kujihusisha na biashara hiyo pamoja na shughuli zake za uuzaji wa pombe ambapo kupitia watoto hao huweza kuwa dalalia kwa wateja wake.
Kamanda huyo wa polisi jamii aliendelea kusema kuwa kutokana na hatua ya mtuhumiwa kutoroka, kikosi chake kinaendela na operesheni ya kumsaka ili kumkamata na kumfikisha katika vyombo vya dola ili sheria iweze kuchukua mkondo wake.
Aliongeza kuwa katika mfululizo wa matukio ya mtuhumiwa kwa nyakati tofauti alibambwa eneo la Sekei katika jiji la Arusha akiwatorosha watoto watano kwa lengo la kuwapeleka mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kibiashara, ambapo watoto hao waliokolewa na wasamaria.
Hata hivyo Mwenyekiti wa kitongoji cha Ngoikaa katika kijiji hicho cha Ngiresi Wilaya ya Arumeru, Elias Lekiringai alipohojiwa kuhusiana na sakata hilo alikanusha tuhuma zilizoelekezwa kwa mtuhumiwa nakudai kuwa baadhi ya wazazi wamekubaliana na mtuhumiwa awatafutie kazi watoto hao.
Kauli hiyo ya Mwenyekiti imepingana na kauli ya kamanda wa polisi jamii Albert Loy aliyesisitiza kauli yake iliyothibitishwa na mwanafunzi aliyenusurika kutoroshwa baada ya mtuhumiwa kumshawishi mwanafunzi huyo aombe pesa kwa wazazi ili akanyolewe nywele hatimaye mtuhumiwa aje kumchukua akiwa saluni hatua ambayo haikuweza kukamilisha lengo na azima ya mtuhumiwa.
Hata hivyo kamanda huyo wa polisi jamii alisema inaonekana yapo mazingira kwa baadi ya viongozi na ndugu zake ya kumlinda mtuhumiwa kutokana na maslahi binafsi ambapo amesisitiza kikosi chake kitaendelea kufanya kazi usiku na mchana ili kukomesha vitendo viovu vinavyofanywa na wahalifu katika kijiji hicho.

MAGAZETI YA LEO TAREHE 14/01/2014, KIGOGO WA POLISI AUAWA
↧
AMKATA MGUU MWENZAKE NA KUUTAFUNA
INADAIWA kuwa mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la utani kama 'Mas Dog', alimkata mguu muisilamu mmoja baada ya kumuua akisaidiwa na umati wa watu na kuula.
Kitendo hicho kimetokana na hali ya taaruki inayoendelea kutanda katika jamii za waisilamu na wakristo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambapo BBC imegundua mambo ya kutisha yanayofanyika mjini Bangui ambao ni mji mkuu wa taifa hilo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa na BBC ilidai kuwa mwanaume huyo alifanya kitendo hicho kama hatua ya kulipiza kisasi baada ya wapiganaji wa kiislam kumuua mkewe aliyekuwa mjamzito na wifi yake pamoja na mwanawe.
Aidha mwanamume huyo kwa jina Ouandja Magloire alisema kuwa kila mtu ameghadbishwa na wapiganaji waisilamu na hakuna atakayewasamehe kwa walichokifanya.
Anasema alimuona mwathiriwa akiwa ameketi ndani ya basi moja. Alimtoa nje na kuanza kumshambulia na punde si punde akasaidiwa na umati uliokuwa unashuhudia kitendo hicho ambao pia ulimshambulia mwathiriwa huyo.
↧
DAKTALI AUKUMIWA KIFO KOSA LA KUUZA WATOTO
DAKTALI mmoja katika mkoa wa Kaskazini wa Shanxi nchini Uchina amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kuwaiba watoto saba kutoka hospitali aliyokuwa akihudumu na kuwauza watoto hao kwa wauzaji watoto.
Kutokana na kosa hilo inadaiwa kuwa hukumu hiyo ya kifo hubadilika na kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili ili mshitakiwa kubadili tabia yake hiyo ya kuiba watoto.
Wakati mmoja daktari Zhang Shuxia alikuwa mtaalam mashuhuri lakini sasa ni muhalifu mwenye hatia aliyejipatia faida kubwa kutokanana na uuzaji wa watoto.
Daktari huyo aliwadanganya wazazi wapya kwamba watoto wao walizaliwa wakiwa na ugonjwa mbaya, aliwahadaa kwamba iwapo wazazi wangeliwachia serikali jukumu la kuwaangalia basi wangepewa matibabu ya hali ya juu waliohitaji.
Watoto hao wenye afya njema baadaye waliuzwa kwa bei ya maelfu ya madola kwa wauzaji watoto wanaohudumu katika mikoa ilio karibu.
Sita kati ya watoto walioibwa walipatikana na kurudishwa kwa wazazi wao huku mtoto mmoja aliyeuzwa kwa dola 165 pekee akipatikana ameaga dunia kandokando ya barabara ambapo alikuwa amewachwa na muuzaji mmoja wa watoto.
↧