Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFYA: UWEZO NA MAAJABU YA ASALI

Asali ikiwa imechanganywa na mdalasini tayari kwa matumiziWadau wetu wale ambao wanasumbuliwa sana na CHUNUSI iwe USONI, KIFUANI, MGONGONI n.k wanaweza tumia mchanganyiko mzuri wa ASALI na MDALASINI WA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI: JINSI ZANZIBAR KULIVOFURIKA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI CCM

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA DAR ES SALAAM LEO

Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI: MAGUFULI AIKUSANYA TABORA NZIMA SEHEMU MOJA (PICHA)

Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.Dkt Magufuli alisema kuwa Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI: MGOMBEA MWENZA WA CCM AKUSANYA WANACHAMA LINDI

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI: MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI TABORA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASK YA ASALI, NDIZI MBIVU na NDIMU kwa WALE WENYE USO WA MAFUTA

MASK YA ASALI, NDIZI MBIVU na NDIMU kwa WALE WENYE USO WA MAFUTAKama mlivyoomba wadau kwa wale wenye USO wenye MAFUTA mengi hii ni MASK unayoweza kutumia ukiwa nyumbani na ikakuaaidia.Nini cha...

View Article

KAMPENI: MAGUFULI APOKELEWA KIGOMA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFARA WA SUGU ASHAMBULIWA AKIELEKEA KATIKA KAMPENI JIMBO LA MBEYA

STORY NA PICHA KWA HISANI YAJAMIIMOJABLOG MBEYA Na Emanuel Kahema ,Mbeya MGOMBEA ubunge kupitia chadema jimbo la Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi leo amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE SUPER BAT YAZINDULIWA NCHINI MAALUM KUPAMBANA NA MAJANGILI ​

Na Daniel Mbega, MkomaziNI majira ya saa tatu asubuhi Jumatano, Septemba 16, 2015 wakati tunawasili kwenye uwanja mdogo wa ndege (air strip) katika eneo la Kisima ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA...

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA KUFANYIKA OKTOBA 3,2015 CLUB YA ESCAPE ONE...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Black Sensation, Lilliane Masuka (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Tamasha la Fahari ya Mwafrika litakalofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASABURI:LOWASSA NDIYE ALIYEUZA UDA

MGOMBEA wa ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Didas Masaburi, amekana kuhusika na uuzwaji wa mali za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) na kutupa mzigo huo kwa mgombea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA NNE WA BARA LA AFRIKA KUJADILI MIPANGO ENDELEVU NA MAFUNZO KWA...

 Mkurugenzi wa Ofisi ya Mipango na Maendeleo na Msimamizi wa Fedha na Uchumi wa Nchi za Maziwa Makuu, Rwanda, Burundi na Uganda, Br. John Njuguna akizungumza na wanahabari kuhusu shughuli mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NA CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO KUPITIA UTAMADUNI.

 Balozi wa China nchini Tanzania Bw. Lu Youqing (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC- wa kwanza kulia), Bw. Clement Mshana pamoja na Makamu wa Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE ATOA ZAWADI YA IDD EL HAJI KWA MAKUNDI MBALIMBALI.

 Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Chama cha kulea Watoto Mayatima (Chakuwama) cha Sinza, Hassan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI, DAR,...

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya, Judith Sergentine (kushoto) na Balozi wa Umoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC PAUL MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KATIKA GEREJI YA WACHINA NA...

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Gereji ya Spring City Enterprises inayomilikiwa na raia wa China iliyopo Mikocheni B Mlalakuwa  Barabara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA KULINDA NA KUENDELEZA VITUO VYA BIASHARA TANZANIA WAFANYIKA LEO DAR.

. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipitia baadhi ya nyaraka alizokabidhiwa  na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia, John Mngodo(kulia),...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live