$ 0 0 Juu: Mtaa wa gerezani gari limekufa katikati ya maji.Juu Kariakoo eneo la shule ya Uhuru kwenye round about, hali inasikitisha sanaChini: Barabara ya Nyerere eneo la Goldstar halipitiki, msongamano wa magari uliosababishwa na maji mengi