Wakazi wa eneo la Jangwani wakiokota plastiki na chupa vilivyotawanywa na mvua kali zinazoendelea nchini kama walivyokutwa na kamera yetu leo asubuhi.
Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHINI: Wakazi wa Jangwani karibu na uwanja wa klabu ya Yanga wakiwa wamekaa juu ya paa la nyumba kukwepa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea nchini.