TAARIFA YA MAFURIKO YA MAJI NJIA YA MWAI KIBAKI ROAD
KWA WENGI MNAOTUMIA BARABARA YA MWAI KIBAKI KUTOKA NA KWENDA MJI AU KUELEKEA SHOPPAZ PLAZA, HALI NI MBAYA SANA KWANI MAJI YAMEJAA KUTOKA ARCADE COMPLEX MPAKA ENEO LA SHOPPAZ PLAZA.
MIMI NIMEPITA NJIA HIYO SAA 11.20 ASUBUHI LEO TAREHE 27/03/2014
USHAURI : NAPENDEKEZA WOTE MNAOTUMIA MAGARI YA CHINJ, YALE AMBAYO SIO 4X4 MKIFIKA KWA NYERERE MIKOCHENI MKATE KUELEKEA NJIA YA MWENGE AU NEW BAGAMOYO RD.
NATUMAINI MAELEZO HAYA YATASAIDIA KUKUWEZESHA.