Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

PSPF YAVUNA WANACHAMA WILAYA YA TEMEKE

$
0
0


Mtangazaji wa kipindi cha wanawake live kulia Bi. Joyce Kiria kushoto akionyesha kitambilisho chake cha uchangiaji wa hiari kutoka kwa Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe kushoto wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe kushoto akimkabidhi Mtangazaji wa kipindi cha wanawake live kulia Bi. Joyce Kiria kitambulisho cha uchangiaji wa hiari katika mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.






Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles