Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

MWAKILISHI WA JIMBO LA TUNGUU ZANZIBAR ATOA MSAADA WA MABATI 24

$
0
0
Mwakilishi wa jimbo la Tunguu Zanzibar, Simai Mohamed Said (kulia) akisalimiana na mzee Ali Nyau Mavangu (70) wa Kibele jimboni humo baada ya kukabidhi msaada wa mabati 24 yenye thamani ya sh.300,000/- kutokana na nyumba ya mzee huyo kuanguka hivi karibuni kutokana na mvua nyingi ya hivi karibuni. Picha na Martin Kabemba

CHINI: Simai (kushoto) akishiriki katika kushusha mabati baada ya kuwasili kwa mzee Ali Nyau Mavangu kumfariji. Picha na Martin Kabemba.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles