Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

KINDONDONI, ILALA MABINGWA UNDER 17 AIRTEL RISING STAR DSM

$
0
0
Nahodha wa timu ya wasichana ya Kinondoni, Sylvia Mwacha (kushoto), akikabidhiwa kombe na Meneja wa Airtel kanda ya Dar es Salaam, Bw. Fredrick Mwakitwange (kulia), baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa wa Dar es Salaam upande wa wasichana jana.


CHINI: Nahodha wa timu ya Wavulana  ya Ilala, Abdul Hassan (kushoto), akikabidhiwa kombe na Meneja wa Airtel kanda ya Dar es Salaam Bw. Fredrick Mwakitwange (kulia), baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa wa Da es Salaam upande wa wavualana jana.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles