Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

MAAJABU: AFUMANIWA, APIGWA SHOKA KICHWANI, BADO YUKO HAI AMELAZWA MWANZA

$
0
0


Jamaa ambaye amelazwa katika hospitali ya Bugando akiwa na shoka kichwani huku ampoteza fahamu kama anavyoonekana pichani, inadaiwa alikumbwa na mkasa huo baada ya kufumaniwa na kupigwa shoka kichwani.

habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba jamaa huyo amelazwa katika hospitali ya Bugando, jijini Mwanza huku akiwa hana fahamu na shoka likiwa bado kichwani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497