Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

LIWALE HALI MBAYA, UBOVU WA MIUNDOMBINU WALAZA ABIRIA SIKU MBILI BARABARANI

$
0
0



Malori mawili yote aina ya Fuso yakiwa yamefunga njia katika barabara ya kuelekea Liwale, karibu na vijiji vya Nachingwea eneo la Namikange, Wilaya ya Liwale baada ya kukwama kwenye tope lilisababishwa na mvua kali zinazoendelea nchini na kusababisha magari yanayoingia na kutoka Liwale kushindwa kuendelea na safari na hatimaye abiria kulala barabarani.









Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles