ANGALIA AKON ALIVYOJIKINGA NA VIRUSI VYA EBOLA ALIPOKUWA DR-CONGO
Akiwa katika ziara nchini DRC katika kongamano la kimataifa la amani lijulikanalo kama International Day of Peace huko Goma, Akon alipokelewa na umati mkubwa wa watu akiwa katika tufe lililo mfano wa...
View ArticleSIMANZI: G FULLAH AZIKWA, MAJONZI YATAWALA, WASANII WA MLILIA(PICHA)
G Fullah alifariki siku ya Jumapili tarehe 5 Octoba 2014 hospitali ya Muhimbili, Dar es salaam, akazikwa siku ya Jumatatu tarehe 6 Octoba makaburi ya Kinondoni. Marehemu alikua akisumbuliwa na tatizo...
View ArticleAIRTEL KUZINDUA TRACE MUSIC STAR, PIGA SIMU, IMBA, USHINDE
Anethy Muga, Meneja wa Masoko wa Airtel akitangaza namba itakayotumika katika mashindano ya Airtel Trace Music kuwa ni 0901002233 PIGA, IMBA , SHINDA na AIRTELCHINI: Kikundi cha Yamoto Band wakipasha...
View ArticleBREAKING NEWS: BARABARA ZIMEFUNGWA, JIJINI DAR ES SALAAM (ANGALIA HAPA)
Kampuni ya watengenezaji barabara STRABAG inayotengeneza mtandao wa barabara za mabasi ya mwendo kasi BRT, pamoja na wadau wengine imetoa matangazo leo tarehe 10/10/2014 katika vyombo vya habari yanayo...
View ArticleHII INASHTUA: WANAFAMILIA WAKUTWA WAKILIMA SHAMBA LAO UCHI HUKO SIMIYU
POLISI mkoani Simiyu inawashikilia watu wanne wa familia moja kwa tuhuma za kukutwa wakilima katika shamba la familia yao, huku wakiwa watupu kama walivyozaliwa.Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Simiyu,...
View ArticleMENEJA WA SLIPWAY NA MCHUMBA WAKE WAKUTWA WAMEKUFA NYUMBANI KWAO
Aliyekuwa Manager wa Sea Front Slipway mwanadada Roxane (Pichani kushoto akiwa na boyfriend wake), amekutwa amefariki nyumbani kwao akiwa na boyfriend wake, Slipway ni eneo maarufu sana jijini Dar es...
View ArticleHIVI ANTIVIRUS, CLOUDS BADO WANABIFU! ANGALIA BIFU LA FIESTA VS CLIMAX
AIBU NYINGINE! Toka Toka maghoroBaada ya kusikia Times Fm wanamleta msanii Davido kutoka Nigeria Redio ya wafu fm(blaus fm) wamekurupuka na kumhadaa msanii huyo na wanatangaza atakuwepo kwenye Siesta...
View ArticleAJALI MBAYA BAGAMOYO, YAHUSISHA ALTEZZA, DEREVA ALIKUWA CHAKARI
Ajali mbaya imetokea leo wakati dereva wa gari dogo Toyota Altezza yenye usajili namba T786DBP (PICHANI), alijaribu kulipita lori la mafuta na alipokutana uso kwa uso na pikipiki kisha kuigonga na...
View ArticleNEWS: JAJI WARIOBA ANUSURIKA KATIKA VURUGU AKIWA KATIKA MDAHALO
Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya ya Tanzania huku baadhi ya watu wakipigwa na kujeruhiwa.Mdahalo huo...
View ArticleFUNDRAISE YA NDUGU RASHID MKAKILE, TUJITOKEZE KUMSAIDIA
On 10/21/2014 our friend Mr. Rashid H Mkakile did encounter a near death experience while he was in Boston (MA) area working. Previously Mr. Mkakile contacted his wife Mrs. Ikota K. Mkakile in Dallas,...
View Article