Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAPENZI WA ISIDINGO POLENI KWA MSIBA MZITO WA LETTI

REST IN PEACE LETTI MATABANEMsanii mwigizaji wa filamu na haswa ile maarufu ya Isidingo, Lesego Motsepe AKA "Letti Matabane" (Pichani) amefariki dunia. Poleni sana mashabiki wa ISIDINGO, tamthiliya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOOGLE YAINUNUA NEST, YAINGIA MAJUMBANI SASA

Kampuni ya Google imetoa kiasi cha dola billion 3 nukta mbili kwa kampuni ya Nest ambayo imekuwa ikitengeneza vifaa vya majumbani. Nest ni kampuni ambayo imekuwa ikitengeneza vifaa cha kurekebisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZINGIRA: ANGALIA NYANI WANAVYOPENDANA NI MACAQUES (MAKAKAS)

 Kundi la Makakas wakipozi kwaajili ya picha ya familia Juu: nyani maarufu nchini Japan wanaojulikana kama Makakas (Macaques), akifurahia msimu wa joto nchini humo, chini wakiwa wamekumbatiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIMAMO WA RAIS OBAMA KUHUSU UHALALISHWAJI WA BANGI MAREKANI

Rais Obama amekuja na mtazamo tofauti kuhusu uhalali wa bangi (Marijuana), na ndipo alipoamua kuweka bayana msimamo wake kuhusu uhalalishwaji wa bangi huko Colorado na Washington alipofanyiwa mahojiano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALINZI AMWELEZA LOWASA MIKAKATI YAKE

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIJanuari 20, 2014MALINZI AELEZEA MIKAKATI YAKE KWA LOWASSARais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema shirikisho lake limepanga malengo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLEMAVU ASIYE NA MIKONO YOTE NA MGUU KUPELEKWA MAREKANI

Arusha.Mtoto mwenye ulemavu wa viungo ambaye hana mikono yote miwili na mguummoja, anayetoka jamii ya kifugaji,bw Joseph Nyange(13),huendaakaondokana na mateso ya muda mrefu yanayo mkabili baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO 21/01/2014, UAPISHO WATAWALA

View Article

LIVE LETTI MATABANE WA ISIDINGO ALIPOTANGAZA NI HIV+

   

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRL HUENDA IKASITISHA SAFARI ZAKE, RELI YAHARIBIKA VIBAYA

Kwa mara nyiunge tena Shirika la Reli Tanzania (TRL) huenda litalazimika kusimamisha safari zake za reli ya kati kutokana na mafuriko yanayotokana na mvua zinazoendelea kunyesha.Sehemu mojawapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MSAFARA WA KAGAME WAPATA AJALI KENYA

Watu wawili wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mojawapo ya magari ya msafara wa magari ya Rais Paul Kagame nchini Kenya.Rais Mwenyewe hata hivyo hakujeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea saa mbili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIO LADY GAGA…ANGALIA SHUGHULI YAKE HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA :MATAJIRI ACHENI UBINAFSI, SAIDIENI MASKINI

Kiongozi wa kanisa la Katoliki duniani, Papa Francis, ametoa wito kwa viongozi wanaohudhuria mkutano wa kimataifa mjini Davos kuhakiksiha kuwa mali na utajiri ulio hapa duniani unapaswa kuwahudumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIFA YAIONYA BRAZIL KUHUSU KOMBE LA DUNIA

Shiriksho la mchezo wa soka duniani FIFA, limetoa onyo kwa utawala nchini Brazil, kuwa mji wa kusini wa Curitiba huenda ukaondolewa miongoni mwa miji itakayoandaa fainali ya kombe la dunia, kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA VIWANJA VYAVYOVUTIA BRAZIL KOMBE LA DUNIA 2014

Kitu kimoja kinachoivutia FIFA kuhusu kombe la dunia la Brazil ni jinsi viwanja vyake vinavyong’aa na kuvutia wengi. Viwanja hivyo ambavyo vinatarajiwa kukamilika kabla ya kombe la dunia kuanza mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DARAJA LAKATIKA: ABIRIA WAKWAMA ENEO LA DUMILA

Taarifa zilizotufikia toka eneo la tukio ni kwamba abiria na magari mengi yamekwama toka saa nne asubuhi kutokana na kukatika upande wa pili wa daraja. Inasemekana kuwa daraja lilikatika toka saa kumi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUKATIKA DARAJA: MAGARI YARUDI MOROGORO NA KUBADILI NJIA

Magari yaliyokuwa yanasafiri kwenda kanda ya ziwa yaliyokwama kupita kutokana na mafuriko yarudi Morogoro na kuzunguka Wilaya ya Kilosa, Mkata na Dumila.Picha kulia ni abiria wakipata chakula kabla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATUMA SALAAM ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA MBUNGE

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA YANGA ITAKUWAJE: USAJILI WA OKWI YANGA WAPIGWA STOP

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi(Pichani Kulia) kutoka Uganda katika timu ya Yanga wakati likisubiri ufafanuzi kutoka Shirikisho la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABOMU ST. JOSEPH UNIVERSITY SONGEA, 40 MBARONI

Songea.Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limelazimika kutumia nguvu kwa lengo la kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la Songea kwa kupigwa na mabomu ya machozi baada ya wanafunzi hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKUNA KAMPUNI YA KITANZANIA IILIYOZUIWA KUWEKEZA KWENYE GESI NA MAFUTA

Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ameeleza kuwa, hakuna Kampuni yoyote ya Kitanzania wala Mtanzania aliyezuaiwa au atakayezuiwa kushiriki katika shughuli...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live