Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOKA : TAIFA STARS KUIKABILI NAMIBIA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Namibia (Brave Warriors) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya michuano ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika (AFCON)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE KUHUDHURIA KONGAMANO LA WASANII IJUMAA

Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa kongamano la umoja na mshikamano linalofanyika Januari 17 (Ijumaa) kwenye viwanja vya hoteli ya Lamada ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJONZI: KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA GEORGE LIUNDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha ghafla cha aliyekuwa msajili wa kwanza wa vyama vya siasa nchini, Bwana George Liundi...

View Article

VIDEO : ANGALIA KIJIWE CHA UGHAIBUNI WALIVYOKUTANA

Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā Video ni kwa hisani ya Vijimambo Blog

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

200 WAZAMA MTO NILE WAKIKIMBIA SUDAN

Zaidi ya watu 200 raia wa Sudan Kusini wamezama katika ajali ya boti kwenye mto Nile wakikimbia vita vinavyoendelea katika mji wa Malakal.Taarifa hii ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi la Sudan...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII INAKUHUSU HUKWEPI : UNAJUA KUWA SIMU YAKO INA KINYESI..!

NDIO, HIYO SIMU YAKO INA KINYESI..!Habari mbaya kwanza: kuna uwezekano mkubwa kabisa katika simu moja kati ya sita ina kinyesi ndani yake.Sasa habari njema: wabunifu wawili wanadai wametengeza chaja ya...

View Article

HATIMAYE OYSTERBAY POLISI KUUZWA YAONGELEWA NA WIZARA

TAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ILIYOTOLEWA NA MSEMAJI WA WIZARA ISAAC J. NANTANGA KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 14 NOVEMBA, 2012 KUHUSU MRADI WA UWEKEZAJI KATIKA ENEO LA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO TAREHE 15/01/2014 MAALIM SEFU NAYE AANZA SAFARI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE JACKIE CLIFF YUKO MTAANI

Mwanamitindo ambaye pia ni 'video Queen' Jackie Cliff aliyekamatwa na dawa za kulevya nchini China kisiwa cha Macau ameshangaza watu baada ya kuweka picha kwenye ukurasa wake wa istagram.Picha hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZA CHINI CHINI: WATANGAZAJI MAARUFU CLOUDS WASIMAMISHWA

Watangazaji maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ā€˜B 12’(pichani wa kwanza kushoto), Adam Mchomvu (mwisho Kulia)na Loveness Malinzi ā€˜Diva’(katikati), wamepigwa chini na...

View Article

HII KIBOKO: TUNAKUNYWA MKOJO WA NG'OMBE…ONA HII

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI LEO TAREHE 16/01/2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA ASHUHUDIA UHALIFU WA KUTISHA WILAYA YA KITETO

Eneo la Mtanzania wilayani Kiteto ambalo ni moja kati ya maeneo ya makazi yaliyovamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji ambapo watu watatu waliuawa na nyumba kuchomwa moto. Mlheshimiwa Waziri Mkuu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU UKATILI UMEPITILIZA, TEMBO 13 WAUAWA, ANGALIA PICHA

Mizoga ya Tembo 13 waliouawa na kung'olewa meno na majangili katika pori la Akiba la Piti kata ya Ngwara wilayani Chunya mkoani Mbeya,mizoga hiyo ilikutwa na Maofisa mali asili wilayani humo ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU YA ELIMU FINLAND, ANGALIA JINSI TUNAVYO TOFAUTIANA

Shule za Finland wanafunzi hawavai sare (kama za kwetu, kwanza kwetu ni sharia kabisa kuvaa uniform), hakuna mtihani wa majaribio (interview) ili kuanza shule, hakuna ada ya kiingilio, hakuna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUH: ONA ALICHOANDIKA MWIGULU, JAMAA WAMSHAMBULIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAVAMIA KITUO CHA POLISI KUSHINIKIZA, MWENZAO AUAWA

TaboraMtu mmoja ameuawa na mwingine kujeruhiwa kufuatia wananchi wenye hasira kuamua kuvamia Kituo kidogo cha Polisi kwa lengo la kumtoa mtuhumiwa kwa lengo la kumuua.Picha kwa hisani ya mtandaoTukio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO KWENYE MAGAZETI YA IJUMAA 17/01/2014

View Article

JINA 'WASIRA' LALETA BALAA KWA MGOMBEA

Bunda.Mgombea udiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) katika uchaguzi mdogo kata ya Nyasura Jimbo la Bunda mkoani Mara amepata pingamizi toka kwa mgombea mwenzake kwa tiketi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRENI YA KWANZA KUTENGENEZWA NCHINI YAANZA MAJARIBIO

MorogoroINJINI ya kwanza (PICHANI) kati ya injini 8 ambazo zinatengenezwa na Kampuni ya S.M.H.RAIL ya nchini Malasya leo imefanya safari ya majaribio kuanzia Stesheni ya Mjini Morogoro kwenda Mkoani...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live