Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANYE WEST ATOA KASHFA

RAPPER kutoka nchini Marekani, Kanye West ameonesha kitendo ambacho kimetafsiriwa kama kumkosea mungu baada ya kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la 'Jesus Walk' ambayo ipo kwenye albamu ya 'College...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI YA TAIFA JANA

 Makocha ya timu ya Simba, Kiwio, na Kibadeni  wakishangilia goli pamoja na wachezaji wake Mwenyekiti wa timu ya Yanga Yussph Manji akishangilia goliWachezaji wa Yanga wakishangilia goli

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMAL MALINZI RAIS MPYA TFF

Tanzania imepata Rais mpya wa Sirikisho la Soka Tanzania, Tanzania Football Federation (TFF). Matokeo hayo ni baada ya kumbwaga mpinzani wake Athmani Nyamlani kwa tofauti ya kura 20, ambapo alipata...

View Article

WATU 30 WA UAWA HARUSINI

Watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki nchini Nigeria, wameshambulia msafara wa harusi na kuwaua zaidi ya watu 30.Shambulizi hilo lilitokea katika eneo ambalo hushuhudia visa vingi vya utovu wa usalama,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKENYA WASHTUKIA JANJA YA KENYATA

Waathirika wa kesi inayomkabili rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wameutaka Umoja wa Mataifa kukataa wito wa kutaka kucheleweshwa kwa kesi dhidi ya Rais Kenyatta katika mahakama ya kimataifa ya ICC mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VAN VICKER AKANUSHA KUPATA AJARI

Msanii wa filamu nchini Nigeria Van Vicker amejitokeza na kukanusha kupata ajari jana akiwa njiani kuelekea kanisani huku ikidaiwa kuwa yupo katika hali mbaya.Jana mchana baadhi ya mitandao mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.


MENGI AMTOLEA UVIVU MUHONGO KATIKA TWITTER

Kuhusu Mh Muhongo kusema hatuna fedha, akumbuke dunia ya leo hufanyi biashara na fedha ulizonazo mfukoni bali maarifa uliyonayo kichwani


Watu wakumbuke kwamba karibu vitalu bora vyote vya gesi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI AJINYONGA KUOGOPA MATOKEO

Mwanafunzi wa aliyekuwa akisoma shule ya sekondari Sabasaba mjini Iringa akijiandaa kurudia kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha nne kupitia kituo cha Krelluu mjini Iringa Khamis Mkundo mkazi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKIMBIAJI WA MIAKA 86 AFARIKI BAADA YA KUMALIZA MBIO

Mkimbiaji mwenye umri wa miaka 86 amefariki baada ya kumaliza mbio hizo juzi (jumatatu) katika mbio za nyika za 25 za New York (25th New York City Race). Joy Jonhnson (Pichani chini kulia) mwanamke...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YAJIKITA KUTATUA TATIZO LA MAKAZI

Meneja Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Bi. Eunice Chiume akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mpango wa Shirika hilo kuendelea kutatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO FAMILIA ILIYOGUNDULIWA KUWA NA NYWELE DUNIANI KOTE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASOGANGE AJITOKEZA AKIWA NA VAZI LA UFUKWENI

Baada ya kuachiwa kwa dhamani kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabili ya kudaiwa na kukutwa na chemichali bashilishi za kutengenezea dawa za kulevya Agnes Masoganga apiga picha akionekana akiwa na vazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWITTER KUUZA HISA

Mtandao wa kijamii wa Twitter umetangaza kuuza hisa zake kwa dola 26 kila hisa, kabla ya kuanza kuuza rasmi katika soko la hisa la New York baadaye leo.Bei hiyo iko juu ya kiwango kilichotabiriwa cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DHL YASHTAKIWA KWA KUFUKUZA KAZI WAISLAM

Kundi la waislamu walioajiriwa katika kampuni ya kusafirisha vifurushi ya DHL wamefungua kesi ya malalamiko wakidai haki sawa kwa wafanyakazi huku wakilalamikia kampuni hiyo kuwafukuza kazi kwa sababu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA FRANCIS ASHTUA UMATI WA WATU

 PAPA FRANCIS ASHANGAZA WENGI… * AGUSA NYOYO ZA WATU...Bado kuna watu hawamkubali Papa Francis na mitazamo yake. Mfano wa mitazamo hiyo ni kuwa Papa wa kwanza kutamka hadhatani kuwa mashoga wanaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA WA AZAM ATIMULIWA

Huku ligi kuu soka Tanzania Bara ikiwa imekamilisha mzunguko wake wa kwanza hii leo,timu ya Azam FC ya Dar es Salaam imetangaza kusitisha mkataba na kocha wake mkuu Stewart Hall (Pichani Kushoto) wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA RAIS JANA BUNGENI

Mheshimiwa Anne Makinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: DR MVUNGI AFARIKI DUNIA

REST IN PEACE DR. SENGODO MVUNGIMjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dr Sengodo Mvungi(Pichani) amefariki katika hospitali ya MillPark huko Afrika ya kusini alikokuwa akipata matibabu.Dk Mvungi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMANJARO MARATHON 2014 YAZINDULIWA

 Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Elisante Ole Gabriel  (wa kwanza kushoto) akimkabidhi bendera katibu mkuu wa riadha Tanzania kuashiria ufunguzi wa mashindano ya 12 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

P SQUARE WATEMBELEA WATOTO WENYE ULEMAVU

Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation, Yesaya Mwakifulefule akipeana mikono na wasanii, Peter na Paul Okoye,maarufu kama P Square wakati walipowasili kwenda kutoa msaada katika kituo cha watoto wenye...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live