MOTUARY YA INYALA MKOANI MBEYA KUKAMILIKA MWEZI JULAI
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Kituo cha cha Afya cha Inyala, Alvin Mutiganzi (kushoto), akitoa maelekezo ya ujenzi wa jengo la kuhifadhia maiti kwa maofisa wa Bohari ya Dawa (MSD) na waandishi wa habari...
View ArticleMWANDISHI APATA TUZO YA HESHIMA KUTOKA ASASI YA AWAMATA
PICHANI: Mwandishi wa habari na mchambuzi wa mambo mbalimbali nchini Tanzania Ndg Mathias Canal (Kushoto) akikabidhiwa tuzo ya cheti cha heshima kwa mchango wa utendaji katika jamii na Ndg Mohamed...
View ArticleTAMASHA LA 7 LA 4CCP LAZINDULIWA HAYDOM MKOANI MANYARA
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akimsikiliza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga mara baada ya kuwasili kwenye kituo cha Utamaduni...
View ArticleWAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA UUNGANISHWAJI WA UMEME WA GRIDI YA TAIFA KWA...
PICHANI: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa uunganishwaji umeme wa Gridi ya Taifa kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha...
View ArticleRITTA KABATI CHALLENGE CUP MSIMU 2018 YAANZA RASMI,TIMU ZAOMBWA KUCHUA FOMU...
Kulia ni Mwenyekiti wa mashindano ya Ritta Kabati challenge cup 2018 na kushoto ni katibu wa kamati ya mshindano hayo walipokuwa wakiongea na vyombo vya habari kwenye ofisi zao zilizopo manispaa ya...
View ArticleSERIKALI YAHIMIZA HALMASHAURI KUBUNI MIRADI YA KIMKAKATI ILI KUJIONGEZEA MAPATO
PICHANI: Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, akijibu maswali Bungeni, Jijini DodomaSerikali imeeleza kuwa Uchukuaji wa baadhi ya vyanzo vya mapato katika halmashauri ulifanyika kwa...
View ArticleMAKAMPUNI 380 KUSHIRIKI MAONESHO YA KIMAITAFA UTALII YA KARIBU KILIFAIR MOSHI
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kilifair Ltd ,Tom Kunkler akizungumza mbele ya waandishi kuhusu tukio la Maonesho ya Kimatifa ya Utalii ya KAribu Kilifair yanayotaraji kufanyika mjini Moshi ,June 1 hadi 3...
View ArticleWABUNGE WA MIKOA YA KUSINI WAIMWAGIA SIFA SERIKALI NA TANESCO KWA KUMALIZA...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(kushoto), akifurahia jambo na Wazitri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, (wapili kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda,...
View ArticleKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AMTEMBELEA MWANARIADHA STEVEN AKHWARI MKOANI...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akisalimiana na Mzee John Steven Akhwari Mwanariadha anayeheshimika Duniani mara baada kwasili alipomtembelea nyumbani kwake...
View ArticleCHUO KIKUU CH MZUMBE WAZINDUA KITUO CHA KUTOA MSAADA WA KISHERIA
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro Prof Lughano Kusiluka akisisitiza jambo kwa wanafunzi chuo hicho kitivo cha Sheria alipowataka kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi mara baada ya...
View ArticleDAWA ZAVUSHWA KUPITIA MTO WENYE MAMBA MKOANI RUVUMA
Wakazi wa vijiji vilivyopo kandokando ya mto Ruvuma wilayani Nyasa mkoani Ruvuma na wafanyakazi wa Bobari ya Dawa (MSD), wakisaidia kushusha maboksi yenye dawa na kuyaingiza kwenye mtumbwi baada ya...
View ArticleWATANZANIA WENGI HAWAFAHAMU KUFANYA MANUNUZI KWA NJIA YA MTANDAO
Na Jumia Tanzania Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, biashara nyingi Tanzania na duniani kote zimehamia kwenye mifumo ya mtandao wa intaneti. Ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi hivi...
View ArticleKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AWATEMBELEA WAHADZABE NA WATATOGA MKOA WA MANYARA
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akizungumza na wananchi wa jamii za Wahdzabe Watatoga na Wasukuma wakati alipotembelea Kata ya Eshkesh kijiji cha Dumanga Yaeda...
View ArticleZAWADI YA KUWAPA WATOTO KIPINDI CHA SIKUKUU NI TOTO AFYA KADI
WAZAZI na Walezi mkoani Tanga wametakiwa kuhakikisha wanawapa watoto wao zawadi kwenye kpindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani kwa kuwaingiza kwenye mpango wa Toto Afya Kadi ili waweze kunufaika na...
View ArticleMAPORI MATANO YA AKIBA MKOANI KAGERA NA GEITA KUPANDISHWA HADHI YA KUWA...
PICHANI: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamisi Kigwangalla akizungumza bungeni alipokuwa akijibu hoja wa wabunge waliochangia mjadala wa bajeti wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya...
View ArticleMAKAO MAKUU HALMASHAURI YA BUMBULIKUJENGWA KWEHANGALA
PICHANI: Ramani ya jengo la Halmashauri ya Bumbuli litakavyokuwa. (Picha na Yusuph Mussa, Immamatukio Blog).Na Yusuph Mussa, BumbuliImmamatukio BlogHATIMAYE Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya...
View ArticleNAIBU WAZIRI MAVUNDE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA WCF KANDA YA NYANDA ZA JUU...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde, akipeana mikono na mama mjane, Atulehemu Kiduko, ambaye analipwa fidia ya kila mwezi kufuatia...
View ArticleMPINA AMWAGA PIKIPIKI KWENYE MINADA YA MIPAKANI
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina(mwenye miwani) akikagua moja kati ya pikipiki kumi kabla ya kuzikabidhi ili zitumike kwenye minada ya mipakani na upili.Picha na John MapepeleNa John...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKIPONGEZA CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TANZANIA (TAWLA) KWA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakisalima iana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndungulile wakati...
View Article