![]() |
Mchoro wa nyumba hizo ramani pamoja na nyumba |
Mahali iliko ni Kigamboni Kibada wilaya ya Temeke General View ukiwa maeneo ya nyumba iliko Vitu vizuri unavyoweza kuviona ukiwa nyumbani kwako endapo utaibuka mshindi ni pamoja na Uwanja wa Taifa, uwanja wa ndege na utaweza kujione vizuri vikwangua anga vya jijini dar es salaam kama vile PPF Tower, Uhuru height, Jubilee Tower, Serena Hotel n.k Jiunge na kifurishi cha Airtel Yatosha SIKU, WIKI au MWEZI kwa kupiga *149*99# na chagua kifurushi kitakachokufaa ili uwe mmoja wa washindi watakaofaidika na nyumba hizi
Huu ndo mjumba wa kifahari utakaoshinda kupitia droo ya mwisho wa mwezi Hii ni sehemu ya mbele ya Nyumba (Pichani Chini) mojawapo ya AIRTEL YATOSHA Nyumba hizi zimejengwa kwa mpangilio maalum na wataalam kutoka shirika makini la nyumba Tanzania (National Housing Corporation).