
Kwa mujibu wa ndugu ambaye hakutaka kutajwa jina, mama huyo alikimbizwa hospitali ya Tumbi Kibaha, na madaktari na manesi wa hospitali hiyo walipigana kuokoa maisha ya mama huyo lakini hawakufanikiwa na kisha mama huyo kupoteza maisha.
Wakati huo huo, msanii mwingine wa bongo fleva, Z Anto (Pichani kushoto) naye amepoteza mama yake mzazi katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, jana.
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peoponi.