$ 0 0 Diamond akiwa na Theo Kgosinkwe(Katikati) na Nhlanhla Nciza studio wakirekodi nyimbo mpya pamoja. Diamond alipost kwenye Twitter ujio wa nyimbo hiyo mpya ambayo itatambulishwa hivi karibuni. Chini Diamond akiingiza vocals