↧
NEW CAMPAIGN : IMMAMATUKIO.BLOGSPOT.COM
↧
RAIS FIFA ASHINIKIZWA KUJIUZULU, KISA SOMA HAPA
Maafisa wa kandanda wa Europa sasa wamemtaka rais wa shirikisho la kimataifa la kandanda FIFA, Sepp Blatter, ajuzulu kutokana na madai ya rushwa yanayoindama Fifa. Wametilia shaka uongozi wake.
Mkuu wa chama cha soka cha uholanzi Michael Van Praag, amesema chini ya uongozi wa Blatter ,Fifa imeandamwa na tuhuma za rushwa na ili Fifa kujisafisha ni sharti Blatter angatuke.
Kwa upande wake mwenyekiti wa chama cha soka Uingereza , Greg Dyke,amesthtumu kauli ya Blatter kuwa madai ya rushwa kuhusiana na kuchaguliwa kwa Qatar kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022 yanayoripotiwa katika magazeti ya Uingereza yamechochewa na ubaguzi wa rangi.
Blatter anatarajiwa kutangaza nia yake ya kuwania nafasi kipindi cha tano kuingoza Fifa katika uchaguzi wa Fifa unaotarajiwa kufanyika mwaka ujao.
Kwa sasa wajumbe wa Fifa wanavikao huko Sao Paulo wakijiandaa kwa ufunguzi wa kombe la dunia hapo kesho ambako Sepp Blatter pia amekuwa akitoa cheche za maneno dhidi ya wale wanaoisema vibaya Fifa na Qatar.(BBC)
Mkuu wa chama cha soka cha uholanzi Michael Van Praag, amesema chini ya uongozi wa Blatter ,Fifa imeandamwa na tuhuma za rushwa na ili Fifa kujisafisha ni sharti Blatter angatuke.
Kwa upande wake mwenyekiti wa chama cha soka Uingereza , Greg Dyke,amesthtumu kauli ya Blatter kuwa madai ya rushwa kuhusiana na kuchaguliwa kwa Qatar kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022 yanayoripotiwa katika magazeti ya Uingereza yamechochewa na ubaguzi wa rangi.
Blatter anatarajiwa kutangaza nia yake ya kuwania nafasi kipindi cha tano kuingoza Fifa katika uchaguzi wa Fifa unaotarajiwa kufanyika mwaka ujao.
Kwa sasa wajumbe wa Fifa wanavikao huko Sao Paulo wakijiandaa kwa ufunguzi wa kombe la dunia hapo kesho ambako Sepp Blatter pia amekuwa akitoa cheche za maneno dhidi ya wale wanaoisema vibaya Fifa na Qatar.(BBC)
↧
↧
MWANZA MACHINGA VS FFU, MABOMU YA MACHOZI YARINDIMA
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba katika Jiji la Mwanza maarufu kama Rock City hali si shwari baada ya vurugu kutokea wakati wafanyabiashara ndogondogo katika eneo la Makoroboi ambapo polisi walilazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya umati wa watu kama picha juu inavyoonekana.
lengo ni kuwataka wafanyabiashara hao wasifanye biashara katika eneo hilo, hata hiyvo hii sio mara ya kwanza kwa matukio hayo kutokea katika eneo hilo.
↧
HATIMAYE LIFTI LA KWANZA MKOANI MBEYA YAZINDULIWA
↧
TFF YAMREJESHA RASMI WAMBURA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS
Rasmi Kamati ya Rufani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemrejesha Mgombea wa Urais wa Simba Michael Richard Wambura kwenye mbio za kuwania uongozi wa Wekundu wa Msimbazi.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Wakili Julius Lugaziya amewaambia Waandishi wa Habari mchana wa leo ofisi za TFF katikati ya Jiji la Dar es Salaam, kwamba Wambura amerejeshwa baada ya kikao chao kilichodumu kwa siku mbili.
Baaada ya mgogoro mrefu tangu juzi Saa 5:00 asubuhi hoteli ya Courtyad, Upanga, Dar es Salaam hadi jioni ya jana, Wajumbe wa Kamati hiyo waliamua kupiga kura kuamua na Wambura akapata kura tatu kati ya tano za kumkubalia aendelee na mbio za Urais Simba.
Na mambo yalio mfaya aweze kurudi rasmi katika kinyang'anyiro hicho ni sababu japokuwa samba walimsimamisha asiwr mwanachama wa klabu hiyoo bado walikuwa wakimshirikisha katika vikao vyo vya maadili pia wambura hadi sasa ni mjumbe wa kamati ya samba kwa vipengele hivyo inaonesha kabisa wambura halali kuendelea kugombea nafasi ya uraisi.
Ikumbukwe Wambura alikata rufaa TFF akipinga uamuzi wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba SC kumuengua katika kinyang’anyiro cha kuwania urais katika uchaguzi wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Kamati ya Uchaguzi ya Simba chini ya Mwenyekiti Wakili Dk. Damas Ndumbaro ilimuengua Wambura kwa sababu alikiuka Katiba ya klabu hiyo, TFF na FIFA kwa kuipeleka klabu hiyo mahakamani.
Kamati ya Uchaguzi ya Simba chini ya Mwenyekiti Wakili Dk. Damas Ndumbaro ilimuengua Wambura kwa sababu alikiuka Katiba ya klabu hiyo, TFF na FIFA kwa kuipeleka klabu hiyo mahakamani.
Wambura sasa atachuana na Evans Aveva, mgombe anayeoongoza kuungwa mkono katika mbio hizo.
↧
↧
NEWS ALERT: MICHAEL WAMBURA MGOMEA RASMI URAIS SIMBA
Saa chache baada ya kamati ya Rufani ya shirikisho la kandanda Tanzania, TFF, chini ya mwenyekiti wake, Wakili Julius Mutabazi Lugaziya kumrudisha, Michael Richard Wambura kwenye uchaguzi wa Simba sc, mgombea huyo amesema sasa haki imetendeka na uchaguzi utakuwa wa amani.
Wambura amezungumza na mtandao huu dakika chache zilizopita na kusema kuwa anaufananisha ushindi wake kama mchezo wa mpira wa miguu.
“Mpira wa miguu una mechi ya nyumbani na ugenini, unaweza ukafungwa ugenini, ukashinda nyumbani, bila kujali umeshinda goli ngapi, lakini ninachoweza kusema ni kwamba haki imetendeke, matokeo yametoka, tujipange kwenda kwenye uchaguzi ili wanasimba wapate viongozi wao wanaowataka” amesema Wambura.
Mgombea huyo ameongeza kuwa hiki sio kipindi tena cha kutafuta mchawi, bali ni kipindi kinachohitaji wanasimba kuwa makini.
“Ni kipindi cha kuwa makini, kuweka sera zetu hadharani, malengo yetu hadharani, ili wana Simba wapate fursa ya kuchagua kwa sera, nadhani hilo ndio ombi langu”.
Ameongeza Wambura. Hata hivyo, Wambura amesema kesho ataongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Simba mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es salaam.
↧
MAGAZETI LEO 12/06/2014: JIJI LA MWANZA LARINDIMA MABOMU, MAJAMBAZI WATEKA KITUO CHA POLISI
↧
WEMA SEPETU AFUNGUKA, AWAPA LIVE WANAOFUATILIA MAHUSIANO YAKE
↧
BREAKING NEWS: SOKO LA MCHIKICHIKI LATEKETEA LOTE LIVE
↧
↧
BREAKING NEWS: ANGALIA JINSI SOKO LA KARUME LILIVYOTEKETEA (VIDEO)
↧
MISA YA KUAGA MWILI WA TYSON SASA HIVI NAIROBI, KUZIKWA JUMAMOSI
Mama mzazi wa maerehemu Tyson, Gladys Okomu akiingia katika kanisa la Nairobi Gospel Center kuhudhuria misa ya mwisho ya marehemu George Tyson. Mazishi ya Marehemu Tyson yatafanyika siku ya jumamosi tarehe 14/06/2014.
Beatrice Shayo katikati akiwa nje ya kanisa kabla ya misa ya kumuombea marehemu George Tyson.
Bobby Buluma “Pengo of Cobra Squad” ambaye pia ni mmoja wa waongozaji sinema ambaye pia laiwahi kuwa mwalimu wa George Tyson akisubiri misa kuanza.
↧
BRAND NEW WORLD CUP SPECIAL: KELLY ROWLAND - THE GAME
↧
DIAMOND AACHIA NGOMA MPYA, INAITWA MDOGOMDOGO
↧
↧
KOMBE LA DUNIA: BRAZIL 3 CROATIA 1
Katika mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Kombe la Dunia 2014, Brazil imeibuka na ushindi wa magoli 3 - 1 dhidi ya Croatia, katika mechi iliyochezwa leo ambapo mchezaji bora katika mechi hiyo bila mashaka aliibuka kuwa Neymah
Goli la kwanza kufungwa katika kipindi cha kwanza lilikuwa ni la Croatia ambapo, beki wa Brazil, Marcelo alijifunga wakati akijaribu kuokoa ikiwa ni dakika ya 12 baada ya mpira kuanza.
Hata hivyo furaha ya goli hilo ilizimwa baada ya mshambuliaji wa Brazil Neymah kupata goli la kwanza ikiwa ni dakika ya 29, baada ya kupiga shuti refu lililogonga mwamba na kuingia langoni bila ubishi.Mpaka kipindi cha kwanza kinakwisha timu hizo zilikuwa sare ya 1 -1.
Kipindi cha pili kilianza kwa mpira wa wastani ambapo katika dakika ya 71.50 mshambuliaji wa Brazil, Danny Alves alipokuwa anaelekea kufunga alichezewa madhambi kwakushikwa na Roll na kusababisha penalty ambayo ilipigwa na Neymah na kuipa Brazi goli la pili.
Katika dakika ya 91 ikiwa ni mda mchache baada ya Neymah kutoka, Oscar aliipatia Brazil goli la 3 baada ya kuachia shuti kali huku akiwa katika mwendo mkali. Kipa alijitahidi lakini jitihada zake hazikuzaa matunda na mpaka mpira unaisha Brazil 3 Croatia 1.
↧
SIKILIZA NA DOWNLOAD: DIAMOND PLATNUMZ - MDOGOMDOGO
↧
MWILI WA MAREHEMU TYSON SAFARINI KUELEKEA SIAYA TAYARI KWA MAZISHI
↧
MILLEN MAGESSA AWAPA USHAURI WATANZANIA
Miss Tanzania 2001 Millen Happiness Magesa amewataka watanzania wenzake kujivunina vitu ambavyo vinatengenezwa na watanzania wezetu wanaotoka hapa nchini ili kuweze kukuza soko la biashara nchini kwetu.
Magesa alisema kuwa ni jambo zuri sana kwa mtanzania kwa mtanzani kuweze kupeana sapoti katika biashara ili kupunguza misaada kwa serikali yetu na kuacha kuilamu kila siku kwamba haina ushirikiano.
Magesa alisema kuwa ni jambo zuri sana kwa mtanzania kwa mtanzani kuweze kupeana sapoti katika biashara ili kupunguza misaada kwa serikali yetu na kuacha kuilamu kila siku kwamba haina ushirikiano.
Alisema kuwa yeye kama barozi wa Puku Company inayosambaza vifaa vya kuchajia simu aina ya smartphone ameahidi kuwa barozi mzuri katika kuhakikisha kila mtanzania anaweza kuifahamu na kuinunua kwa haraka.
“Mimi kama barozi nitahakikisha watanzania wezangu wote kuweza kushirikiana pamoja na mimi ili kuweza kujivunia bidhaa mabazo zinatengenezwa na watanzania wenye na sin chi nyingine tulizo zizoea ili kuleta mapinduzi nchini kwetu,”alisema
Millen alisema amefurahi kuwa barozi wa Puku hapa Tanzania na kuahidi kuwa atakuwa mtari wa mbele kuweza kuhakikisha kila mtanzania anatumia puku kwa ajili ya kuchajia simu zao popote pale waendapo
Alisema kuwa makao makuu ya Puku company kwa hapa Tanzania ni 489 Abal Complex, gorofa ya tatu Mikocheni.
Kutoka kushoto ni Joseph Sikare ambaye ni rais wa PUKU Tanzania, CEO wa PUKU Mecky mbwana, Millen Magessa ambaye ni Balozi wa PUKU nchini na wa mwisho ni Eddy Kavishe ambaye ni partner wa PUKU
↧
↧
MAGAZETI LEO 14/05/2014: MJADALA WA BAJETI 2014/15 BADO UNAENDELEA
↧
MAZISHI YA GEORGE TYSON LIVE HUKO SIAYA YANAENDELEA SASA HIVI ( PICHA 12 )
↧
HATIMAYE MWILI WA GEORGE TYSON WALAZWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MWISHO
Chini ni mama wa marehemu akiwa na huzuni baada ya kuweka udongo katika kaburi la mwanae
Mtoto wa Marehemu, Sonia akilia kwa uchungu wakati dada wa marehemu Caroline Okumu akiweka udongo katika kaburi la baba yake
↧